Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hapo ndio utamin huu mwaka lazima kieleweke...kama 15 ya mwezi kesho watafika ngerengere ...watakuwa wamepiga hatua nyingine kubwa mnoooo
Inawezekana sana maana kama tuta tayari lipo na kutandika reli baada ya subblast si kitu kigumu! Kwa maoni yangu kipande cha Stesheni-Pugu cha 19 km ndo bado kuna kimbembe maana bado madaraja (Shaurimoyo/Kawawa Road) na matuta (baada ya viaduct) hayajakamilika kwa ile viaduct ya 2.5 km!
 
Ngoja tulione sindimba litachezwaje hapa mjini...lkn ukiangalia kweny viaduct wamefany pakubwa kilicho baki ni kumalizia pale gold star ile cable bridge, pia na pale chang'ombe nimeona kazi inaebdelea....ila naona kutoka kumaliza viaduct mpka pugu ndio bado
 
All I see is a slum
 
All I see is a slum
Hapa hatuongelei hzo habari, km una reli ya kufananisha na hii basi weka hapa twende sawa pia km una ushahidi wa kuhusu unafuu wa cost ya reli yenu ya diesel dhidi ya reli yetu ya stima weka hapa tuchambue.

But km unataka habari za slums na mauchafu yote ya miji gusa link hii hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani fanya km unajikuna af uone utakavyokunwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni kweli na hapa ni steel bridge pia ama?
 
Tulia bhana. Hakuna cha usiku, kumbuka Hii ni SGR ya umeme. Ina taratibu zake.!!!

lkn bado wanachelewesha kiukweli... mda wanajenga hayo maviaduct.. kwann wasijenga hizo kipindi viaduct immediately ziko tayar
 
Its getting boring to compare non existing stuff to Sgr in Kenya that's already working for the 4th year now.
esigiara ni ze comedy show nakwambia, mara tuko 89% mara tumeweka historia............ mimi huwa naangalia conversations za wadanganyika kwa huu uzi na kucheka tu. Hakuna ajuaye mbele wala nyuma kwa huo mradi.
 
esigiara ni ze comedy show nakwambia, mara tuko 89% mara tumeweka historia............ mimi huwa naangalia conversations za wadanganyika kwa huu uzi na kucheka tu. Hakuna ajuaye mbele wala nyuma kwa huo mradi.
It's so sad how indenial you are...!! soon treni zitakapoanza tutairudia hii comment yako utuambie ni ss hatuji mbele wala nyuma au ni ww ndo haujitambui...ni SGR au ww ndo Ze Comedy...Muda utaongea na muda ni mwalimu mzuri sana...hold ur breath, keep watching n keep the hate to yourself..
 
Has Kunyaland built any electrical SGR since her own creation as a nation?
 
Hebu nioneshe hzo 173km hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Any rail can be electrified dummy.
Kenya has sgr Tanzania doesn't. Kenya has carried more goods in her SGR than Ethiopia.
The success of a rail line is measured by freight carried.
Heheheheheeee unajitekenya zen unacheka mwenyewe, kenya hakuna sgr bali kuna upgraded MGR but SGR ya kwanza EA ilijengwa Tz kuanzia mwaka 2017 (hv ndivyo watoto wetu na wenu watafundishwa shuleni miaka ijayo)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Any rail can be electrified dummy.
Kenya has sgr Tanzania doesn't. Kenya has carried more goods in her SGR than Ethiopia.
The success of a rail line is measured by freight carried.
show me one inch of electrified SGR in Kunyaland!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…