Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Mkuu kuna kitu hapa wala tusilaumu yapi.Its true ila wasiwasi wangu ni uwezo wa Yapi wa kutekeleza miradi mitatu kwa wakati mmoja...ulivyoanza mradi wa Moro-Makutupora unaona kabisa Dar-Moro ulianza kusuasua...ss wakipewa mitatu si itakua balaa...otherwise tutafute mkandarasi mwingine.
I can connect the dots kupitia comment yako.Mkuu kuna kitu hapa wala tusilaumu yapi.
Nafikiri serikali imechelewa ku-order hizo treni, kuruhusu mradi umalizike halafu reli iwepoiwepo tu haitumiki na uchaguzi huu.
Nahisi wameambiwa kudelay project ndio maana serikali hailalamiki.
Ingekuwa tatizo ni yapi merkezi basi treni zingekuwa zimewasili tayari.
Ni mawazo yangu tu.
Hakuna anaelaumu tuna raise tu a simple concern..sidhani km serikali inawezeka kuwaambia Yapi wa delay a project of such magnitude na wao wakakubali...ktk Project Managament kuna factor ya Timeframe...kila siku inayoongezeka ktk mradi nje ya Muda waliopangiana ni Additional cost e.g Additional Operational Costs kwa mkandarasi Ambae inturn atairudisha serikalini...hakuna kati yao atakaetaka kuongeza gharama za mradi just for the sake ya kusubiri vichwa vya train.Mkuu kuna kitu hapa wala tusilaumu yapi.
Nafikiri serikali imechelewa ku-order hizo treni, kuruhusu mradi umalizike halafu reli iwepoiwepo tu haitumiki na uchaguzi huu.
Nahisi wameambiwa kudelay project ndio maana serikali hailalamiki.
Ingekuwa tatizo ni yapi merkezi basi treni zingekuwa zimewasili tayari.
Ni mawazo yangu tu.
Sasa mradi umedelay for almost a year now, hizo additional cost zipo, zimeangukia wapi kwa serikali au mkandarasi?Hakuna anaelaumu tuna raise tu a simple concern..sidhani km serikali inawezeka kuwaambia Yapi wa delay a project of such magnitude na wao wakakubali...ktk Project Managament kuna factor ya Timeframe...kila siku inayoongezeka ktk mradi nje ya Muda waliopangiana ni Additional cost e.g Additional Operational Costs kwa mkandarasi Ambae inturn atairudisha serikalini...hakuna kati yao atakaetaka kuongeza gharama za mradi just for the sake ya kusubiri vichwa vya train.
Mkuu mradi ni wa miezi 36 (Miaka mi 3). Mradi ulianza mwezi May 2017...Sasa mradi umedelay for almost a year now, hizo additional cost zipo, zimeangukia wapi kwa serikali au mkandarasi?
Yeah i expect Mwanza- Isaka kuanza next year likely March ...May be Mwanza-Isaka n Isaka-Rusumo as Mwanza-Isaka tender is already floated!
Tender ziko floated..mwenye most impression ndo anashinda..unaweza shangaa isaka-rusumo akashind mtu mwingneIts true ila wasiwasi wangu ni uwezo wa Yapi wa kutekeleza miradi mitatu kwa wakati mmoja...ulivyoanza mradi wa Moro-Makutupora unaona kabisa Dar-Moro ulianza kusuasua...ss wakipewa mitatu si itakua balaa...otherwise tutafute mkandarasi mwingine.
magu ni mzee wa kubadili gear angani,akiona mambo yapo slow zaidi naimani hii tenda watapewa wengine...Its true ila wasiwasi wangu ni uwezo wa Yapi wa kutekeleza miradi mitatu kwa wakati mmoja...ulivyoanza mradi wa Moro-Makutupora unaona kabisa Dar-Moro ulianza kusuasua...ss wakipewa mitatu si itakua balaa...otherwise tutafute mkandarasi mwingine.
Pia Mimi nahisi tatizo la fedha ni mojawapo ya sababu ya ucheleweshaji tukumbuke Dar Moro ni fedha zetu pia kuagiza treni yahitaji fedha nyingi na miradi mikubwa inayotumia fedha za ndani ni MingiNi kweli kabisa mkuu Dar-moro imesua sua sn na kipande kikubwa bado mfano tu ukiangalia kipande kidogo tu kutoka pale Buguruni mpk unafika kipawa naona bado nadhani GoT ingempa mtu mwengine akimbizane na Yapi merkezi unless kuna siri zingine.
sema mwenye best bid with reasonable affordable price ndo anapewa!Tender ziko floated..mwenye most impression ndo anashinda..unaweza shangaa isaka-rusumo akashind mtu mwingne
Kimsingi nadhani ni ngumu kupata upande wa kubebesha lawama. Ikumbukwe kuwa Yapi hawajawahi kujenga mradi mkubwa kuliko Dar - Makutupora (if I don't mistake). Ukijumlisha hilo na mvua nyingi kupita kiasi na matarajio kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu nadhani hawakuweza ku-cope.Sasa mradi umedelay for almost a year now, hizo additional cost zipo, zimeangukia wapi kwa serikali au mkandarasi?
Akipewa mchina itabidi tuwe very serious kwenye usimamizi. Hawa jamaa miradi yao mingi wanalipua sana na huleta staff wao wenye uwezo mdogo sana. Kwa kifupi wale wachina waliojenga Tazara ni tofauti kabisa na hawa wa leo. Nakumbuka jinsi miradi yao ya barabara inavyokuwa chini ya kiwango.APEWE. MCHINA TU HIZO TENDA MBILI ZILIZOBAKI UONE ANAVYOKIMBIZA HATA HIYO MIAKA 3 HAIISHI ATAKUWA KESHAMALIZA
Sidhani kama mkandarasi kayumba, sababu ni kutokana na lot 2 kuwa inakimbia kwa kasi, angeyumba kungeyumba kote. Ila nakubaliana na wewe kuhusu yapi kupewa tena tenda kutokana na alivyoshirikisha vijana wa kitanzania.Kimsingi nadhani ni ngumu kupata upande wa kubebesha lawama. Ikumbukwe kuwa Yapi hawajawahi kujenga mradi mkubwa kuliko Dar - Makutupora (if I don't mistake). Ukijumlisha hilo na mvua nyingi kupita kiasi na matarajio kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu nadhani hawakuweza ku-cope.
Nadhani ili wasipate hasara pengine hawajataka kufanya panic decision ya kupeleka mradi kwa kasi kubwa kufidia muda uliopotea.
Ikumbukwe pia kuwa hii kampuni ina miradi chungu nzima Ulaya, Asia na Afrika. Simple analysis inatosha kubainisha kuwa huenda kampuni imeyumba/inaenda kwa tahadhari isiyumbe post Covid 19. Mfano: Tukumbuke kilichoipata benki ya Barclays Tz miaka ya 2010. Ilifunga matawi na vituo vingi vya huduma hapa Tz ilhali hasara ilipatikana kwao Uingereza! Najaribu kuwaza tu.
Zaidi ya hapo serikali imekuwa ikisisitiza kuwa haijawahi chelewesha certificate hata moja ya mkandarasi Yapi (34 mpaka sasa kwa mujibu wa PM alipokagua mradi juzi hapo). Hivyo ni ngumu pia kudhani shida iko serikalini.
Kuhusu uagizaji wa treni nadhani serikali imeamua ku-relax kwa kuzingatia kuwa ujenzi wa reli ni dhahili bado. Hivyo huenda hawaoni sababu ya kutumia pesa kulipia ilhali kuna mambo mengine mengi yanayohitaji pesa pia.
All in all (in Baba Levo tone) nashauri tuendelee na Yapi ikiwa tutajiridhisha kuwa wataweza kumudu mradi ujao (assumption ni kuwa DSM itakuwa almost done). Sababu ni kuwa jamaa wamekuwa rafiki sana kwetu hususani kwenye suala la local content.
Kwa mfano. Kwenye HR local content ni 80% lakini tangu mradi uanze ni almost 96%. Huu ndiyo mradi wa kwanza mkubwa tunaona ushiriki mkubwa sana wa local engineers hata kwenye sensitive operations. Naamini technology transfer imekuwa kubwa sana kwenye hii miradi yao miwili.
Tujadili.
Yale madaraja ya kichina siyapendi.Akipewa mchina itabidi tuwe very serious kwenye usimamizi. Hawa jamaa miradi yao mingi wanalipua sana na huleta staff wao wenye uwezo mdogo sana. Kwa kifupi wale wachina waliojenga Tazara ni tofauti kabisa na hawa wa leo. Nakumbuka jinsi miradi yao ya barabara inavyokuwa chini ya kiwango.
Nadhani serikali iachane na WB ikomae na AfDB. Tatizo la WB mikopo yao ina masharti magumu ikiwamo wao kuamua kuanzia mjenzi mpaka consultant. Japo kwa kutangaza tender maana yake ujenzi utaanza kwa pesa ya ndani kama ilivyokuwa MDM.
Hayana mvuto kabisa yaani.Yale madaraja ya kichina siyapendi.
Halafu najiuliza tukimchukua mchina atajenga Arema au ndio tutaanza chinese class 1?
Usisahau kuna grace period ya mobilization.Mkuu mradi ni wa miezi 36 (Miaka mi 3). Mradi ulianza mwezi May 2017...
Km ni hivyo basi walipaswa kumaliza May 2020..
First year(Miezi 12): May 2017- April 2018
Second year(Miezi 24): May 2018- April 2019
Third Year(Miezi 36): May 2019- April 2020
Huo mwaka walio Delay ni upi?
Bro upo smart sana....sikuliwazia hilo..ukute jamaa still wapo within a time line...[emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau kuna grace period ya mobilization.
WB bank wanazengua sana na Masharti yao magumu...nawaswas Mwendo kasi ya Gongo la Mboto itakua ya kawaida sana kulinganisha na ya Mbagala yenye flyover mbili...Ht Mwendo kasi ya Kimara wamechangia sana kuivuruga na mashatri yao ktk uendeshaji...wanataka wadictate mpaka ktk uendeshaji...so ht ktk reli bora tukomae na bank ya Africa kuliko WBAkipewa mchina itabidi tuwe very serious kwenye usimamizi. Hawa jamaa miradi yao mingi wanalipua sana na huleta staff wao wenye uwezo mdogo sana. Kwa kifupi wale wachina waliojenga Tazara ni tofauti kabisa na hawa wa leo. Nakumbuka jinsi miradi yao ya barabara inavyokuwa chini ya kiwango.
Nadhani serikali iachane na WB ikomae na AfDB. Tatizo la WB mikopo yao ina masharti magumu ikiwamo wao kuamua kuanzia mjenzi mpaka consultant. Japo kwa kutangaza tender maana yake ujenzi utaanza kwa pesa ya ndani kama ilivyokuwa MDM.