Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #8,221
Hii picha ni kali atari mzee.Yapi merkezi one of the many Bridges (over 100 Dar-Moro SGR)!
Nimeiweka kuwanyamazisha wale waliokuwa wanalalamikia picha za reli yao kutumika!Hii picha ni kali atari mzee.
Acha kuongea km wa kike ww...Ati tunnel [emoji23][emoji23]. Hiyo Surrender bridge itasombwa na rising sea levels tu. Surrender bridge is useless there's already an existing bridge.
Lipeni wazee pension yao.
Ww sio tu mjinga ila nikichaa...ivi mnavyo ibiwa kila siku mnabakia kulialia km matahira mitandaoni alfu mnjifany mnaijua democracy wajinga kabisa nyie...unakuja kuiropoka Tz ...na mdomo mchafu unao nuka shida[emoji57][emoji57]Wabo
Haha the difference btwn the 2 countries ni kama mbingu na ardhi mibingolala haiezi hoji chochote ni misifa tu na tena uhuru wa kukosoa hamna.....usidhani kwasababu wakenya tunakosoa sana miradi ya serikali eti haina faida
Sijaona reli quality km hii hapa Afrika cjui labda SA lkn nchi zote Afrika hakuna km hii aisee japo zpo zenye reli ya umeme ila hii kiboko.Nimeiweka kuwanyamazisha wale waliokuwa wanalalamikia picha za reli yao kutumika!
Tundu lisu akishinda uchaguzi atabomoa hii esigiara uchwara. Doesn't make sense.
Hana uwezo wa kushinda ,by the way you don't make sense kusema hii SGR haina maana.Tundu lisu akishinda uchaguzi atabomoa hii esigiara uchwara. Doesn't make sense.
Hawa watu wapumbavu Sana,wao wanafikiri TZ ni Kama wao,Sisi fisadi anashughulikiwa on the spot,hakuna kuingiza ukabila kwenye maslahi ya Taifa,hela za Corona ingekuwa ni TZ ingekuwa tumeishamaliza siku nyingi huo upumbavu! Wao kila kitu ni wizi,mtu akihuswa wanaanza kuingiza ukabila.anatapatapa nimemuomba aonyeshe mradi mmoja wa Tanzania ulioitwa white elephant! kashindwa!
Hata nyani ana matako,kwani nn cha ajabu hapo? Ww umesema TZ tuna miradi feki,nimekwambia itaje,unaanza matusi,mm sina muda wa kutukana,Ila ukitaka ntakufundisha,Sasa nakupa warning ujiheshimu, maana watu walioko humu wengine hujui wanajiheshimu na kuheshimika vp kwenye jamii.Wacha umatako kwani wewe ujaongelea ufisadi kwa post yako. Kunyi wewe.
Leta fake projects za Kenya
Mkuu hawa Wakenya wamepagawa sn ni watu wasio na vision hawana mbele wala nyuma, kwa mfano huyo fala uliyemkot ukimkuta kwenye platforms zngne anamponda Kenyatta ila humu anajifanya anasifia so hao wapuuzi wasikuumize kichwa mkuu ni kuwaacha tu ila maumivu yanawazd wanapoona sisi tunazd kutoboa km nchi ila kanchi kao kanazd kupotelea kusikojulikana.Hata nyani ana matako,kwani nn cha ajabu hapo? Ww umesema TZ tuna miradi feki,nimekwambia itaje,unaanza matusi,mm sina muda wa kutukana,Ila ukitaka ntakufundisha,Sasa nakupa warning ujiheshimu, maana watu walioko humu wengine hujui wanajiheshimu na kuheshimika vp kwenye jamii.
Inakuma sana....kuona mko na tuktuk la mafuta wakat Tz ni train ya umeme....[emoji23][emoji23][emoji23]Kenyas sgr makes sense. Its working. Ya Tanzania TAFADHALI lissu ukishinda bomoa, hela ya mataaluma utumie kulipa wazee pension.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yet ulikuw unazungumzia habari za IQ?real [emoji57][emoji57][emoji57]Kenyas sgr makes sense. Its working. Ya Tanzania TAFADHALI lissu ukishinda bomoa, hela ya mataaluma utumie kulipa wazee pension.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]atolee wapi karopoka tu huyo......Hata nyani ana matako,kwani nn cha ajabu hapo? Ww umesema TZ tuna miradi feki,nimekwambia itaje,unaanza matusi,mm sina muda wa kutukana,Ila ukitaka ntakufundisha,Sasa nakupa warning ujiheshimu, maana watu walioko humu wengine hujui wanajiheshimu na kuheshimika vp kwenye jamii.
evidence pension funds have been used in stiegler's gorge project?Struggling Gorge bado inameza hela za pension ya wazee, has serious environmental impact na haijatoa ata 1w ya umeme.
This is very funny.Tundu lisu akishinda uchaguzi atabomoa hii esigiara uchwara. Doesn't make sense.
Naomba elimu wadau hapa kwenye ujenzi wa hizi nguzo za madaraja majini. Niliona hapo Salender kama vile maji yamegandishwa vile kwenye eneo lililozungushiwa kwa ajili ya kudrill na kusimika nguzo za zege. Hii tekinolojia ya ujenzi wa nguzo kwenye madaraja kama haya ya majini ikoje. Maji hudhibitiwa vipi?amebakiwa na mipasho na majungu!
JPM anaendelea kufanza mambo!
Selander bridge progress!
Source
MY TAKE
By December this bridge will be so advanced probably laying of piers will have started !
evidence pension funds have been used in stiegler's gorge project?
Mwanzoni alikuwa anajitahidi kutoa hoja na pia alikuwa anaongelea na nchi yake but cku hz amekuwa mpuuzi asiye na mfano ameacha kabisa kuongelea nchi yake amekuwa mtu wa kulalamikia miradi ya Tz as if inatumia pesa yake, hz ni dalili mby sn kwa Wakenya.This is very funny.
Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]