Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #8,241
Kugandishwa? sidhani nachojua mimi baada ya kuzungushia a surrounding sealed barrier then hu-pump out maji then ndo wanajenga!Naomba elimu wadau hapa kwenye ujenzi wa hizi nguzo za madaraja majini. Niliona hapo Salender kama vile maji yamegandishwa vile kwenye eneo lililozungushiwa kwa ajili ya kudrill na kusimika nguzo za zege. Hii tekinolojia ya ujenzi wa nguzo kwenye madaraja kama haya ya majini ikoje. Maji hudhibitiwa vipi?
Umekuwa mjinga sana cku hz.Struggling Gorge bado inameza hela za pension ya wazee, has serious environmental impact na haijatoa ata 1w ya umeme.
fedheha imezidi maarifa!Mwanzoni alikuwa anajitahidi kutoa hoja na pia alikuwa anaongelea na nchi yake but cku hz amekuwa mpuuzi asiye na mfano ameacha kabisa kuongelea nchi yake amekuwa mtu wa kulalamikia miradi ya Tz as if inatumia pesa yake, hz ni dalili mby sn kwa Wakenya.
Ee bwana ee! Hiyo tunnel itakuwa kwa ajili ya nini, kwa siye ambao hatujafika huko. Ni barabara au trench tu kwa ajili ya kupitisha maji?It is Selander bridge and not Surrender Bridge! BTW immediately after this Selander bridge is completed, there is a plan for a tunnel from Magogoni to Kivukoni creek!
pitia nilichoandika vyema utajua ya nn kaka!Ee bwana ee! Hiyo tunnel itakuwa kwa ajili ya nini, kwa siye ambao hatujafika huko. Ni barabara au trench tu kwa ajili ya kupitisha maji?
Rufiji useless! What kind of weed do you guys up there smoke? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rufiji nayo ni kupoteza hela zaidi kuzidi ata surrender.
Magufuli is not an economist nowonder he doesn't have any impactful project amabyo imeguza mwanainchi wa kawaida.
Hata kama ni kweli but haiwezi kuwa ajabu cz wanajeshi huwa wana sign kifo kwa ajili ya nchi yao.Wewe ndio mjinga lakini ata untukane hawafufuki
I can tell come 2025 baada ya kuweka miundombinu ya msingi (reli, trunk roads, bandari na airports/ndege) sisi ndiyo tutakuwa na competitive advantage dhidi ya hao jirani zetu wazee wa mikopo kwa blocks zote za eneo la maziwa makuu.Miradi mikubwa ya Tz unaiita feki kwa vile unajua ni mwiba kwa wakenya ninyi subirini hii tano tena ya jpm
Jamani hivi hawa watu ni nchi nzima wako hivi au hawa nao ni kajamii flani tu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu bwana anataka JNHPP izalishe umeme sasa hivi ikiwa bado under construction! No wonder wanafisadi mpaka pesa za corona. Hawa jamaa zero kabisa.Struggling Gorge bado inameza hela za pension ya wazee, has serious environmental impact na haijatoa ata 1w ya umeme.
Okay. Au ndiyo zege lilikuwa tayari lishajazwa mpaka pomoni.Kugandishwa? sidhani nachojua mimi baada ya kuzungushia a surrounding sealed barrier then hu-pump out maji then ndo wanajenga!
Magaidi wanajua watu wa ku-mess nao. Walianzisha chokochoko Kibiti-Rufiji wakajua hawajui. Pia kuna wale waliendaga Amboni wakaipata. Kinachokera sasa hivi ni hao Msumbiji kushindwa kudhibiti hao wapuuzi mpaka wameanza kuteka bandari. Ila mpaka wetu naamini watauheshimu maana wakituchokonoa tutawafuata mpaka huko huko Msumbiji.Magaidi nao wanapiga risasi za kichwa tu tpdf wanajeshi wenu kule msumbiji View attachment 1561484
Sio jamii yote ya Wakenya ipo hvyo ila wengi wapo hvyo living in denial [emoji3][emoji3][emoji3]Jamani hivi hawa watu ni nchi nzima wako hivi au hawa nao ni kajamii flani tu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu bwana anataka JNHPP izalishe umeme sasa hivi ikiwa bado under construction! No wonder wanafisadi mpaka pesa za corona. Hawa jamaa zero kabisa.
Source yake ni huyo mwanaharakati uchwara ambaye ukimpinga kwa fact anakublock [emoji23][emoji23][emoji23]Source yako ni kigogo ndo mana nakwambia umekuwa mjinga sana cku hz.
Ooooo!!umebadili gear baada ya kuona yamewakuta jwtz[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hata kama ni kweli but haiwezi kuwa ajabu cz wanajeshi huwa wana sign kifo kwa ajili ya nchi yao.
Oooo!! Bado kumbe mnajiamini, nendeni kichwa kichwa basiMagaidi wanajua watu wa ku-mess nao. Walianzisha chokochoko Kibiti-Rufiji wakajua hawajui. Pia kuna wale waliendaga Amboni wakaipata. Kinachokera sasa hivi ni hao Msumbiji kushindwa kudhibiti hao wapuuzi mpaka wameanza kuteka bandari. Ila mpaka wetu naamini watauheshimu maana wakituchokonoa tutawafuata mpaka huko huko Msumbiji.
Hahaha!!north korea of east africa, hamjambo..Source yake ni huyo mwanaharakati uchwara ambaye ukimpinga kwa fact anakublock [emoji23][emoji23][emoji23]
''Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limesikitishwa mno na taarifa hizo na kwa ujumla ni kwamba hatukutarajia kabisa kwamba jambo hilo lingeweza kuzungumziwa kwasbabu Tanzania haina wanajeshi ambao wamevuka mpaka na kuingia Msumbiji'', alisema bwana Sipe.
''Hadi kufikia sasa tunakalia maeneo yetu ya utendaji ambayo hayahusiani kabisa na operesheni zozote za Msumbiji'', alisema Luteni Sipe.
Kwa jumla ni kwamba utendaji wa jeshi la Tanzania upo katika maeneo yake ya kawaida kabisa katika kutekeleza ulinzi wa mipaka yake na operesheni zake hazihusiani kivyovyote vile na harakati zinazoendelea nchini Msumbiji.
Waache wajikanganye tu, wanafikiria hizi ni zile collabo walifanyaUMaji maji haujawatoka wadanganyika. From corona sasa magaidi.
Corona vp nayo bado tunaficha [emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha!!north korea of east africa, hamjambo..
Kuficha sio mbaya, hata marekani pia walificha baada ya kulipuliwa na iran
Endelea kutafuta bwana.Hahaha!!north korea of east africa, hamjambo..
Kuficha sio mbaya, hata marekani pia walificha baada ya kulipuliwa na iran
Imeingia hyo[emoji382][emoji382][emoji382]Endelea kutafuta bwana.