Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tunaenda nuclear sis Kenya.

Lipeni wazee pesa acheni kupoteza pesa kwa kokoto huko struggling heri mfunze watoto na hiyo hela.
Hiyo nuclear iko wapi ss mbn mnapenda kuongopewa ninyi watu, mnaweza ku afford gharama za nuclear? nyie subirini tuwauzie umeme wa bei rahisi muondokane na blackouts cz we are a Father of this region [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tanzania tutakuwa tunawauzia kenya na nchi zingine za ukanda huu kuanzia chakula, umeme, vifaa vya umeme mpk nguo[emoji3][emoji3]
 
Unakopa $3b kujenga struggling George ili uuzie Kenya umeme kwa lazima? [emoji23][emoji23] what a waste of money!

Hiyo hela heri mngefunza watoto IQ ipande au wazee wapate pension.
Substantiate your argument that we borrowed money for the construction of JNHP.
 
Ukiangalia video ya Aug update 2020 from 143km bado ndio wanafanya earth work, from 175km to 201km Nimeona mabadiliko makubwa...from zero km to 20km bado kazi mingi haijakamilika....from 20 km to 70 km 100%Complete, from 70km to 136 km well done
 
Ila 0-20 km kuna mabadiliko overpass ya Kigogo (Kawawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao overpasses za Nkrumah na Bakhresa zitakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa maana pia Pugu tayari kuna tuta na drainage system! nafikiri by December hii maneno itakuwa tayari!
 
Ila 0-20 km kuna mabadiliko daraja la Kigogo (Kwawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao daraja la Nkrumah na Bakhresa yatakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa. maana pia Pugu tayari kuna tuta!
Let's hope...tuwape miezi 3 tena hawa jamaa wamalize viporo vyao...Maybe tutazamie Video ya Nov tukiwa Dec itakua imekamilika Au video ya Dec tuliwa Jan 2021 itakua complete
 
Mi naona kama December itakuwa tayari na uwezekano wa mpaka Kilosa ni mkubwa maana ujenzi wa Kilosa station unaenda mbio nao! Naona kama vile new locomotives nazo zitawasili November! Naona kama vile MSE Wall itawekwa baada ya overpass ya Bakhresa mpaka Pugu station maana sioni sababu ya tuta kuchelewa kuanza kujengwa maana culvert tayari zipo na tuta limeanza tena from 15 km mark!
 
Hiyo nuclear iko wapi ss mbn mnapenda kuongopewa ninyi watu, mnaweza ku afford gharama za nuclear? nyie subirini tuwauzie umeme wa bei rahisi muondokane na blackouts cz we are a Father of this region [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mlo unawashinda, tundu la choo linawashinda sembuse nuclear! ☝ 😀 😀 😀
 
mlo unawashinda, tundu la choo linawashinda sembuse nuclear! [emoji121] 😀 😀 😀 [emoji121]
Eti umeme wa nuclear, wasubiri tuwauzie umeme zen hz kelele za kusema wanaongoza kuwa na umeme mwingi tuwe tumezizika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mi naona kama December itakuwa tayari na uwezekano wa mpaka Kilosa ni mkubwa maana ujenzi wa Kilosa station unaenda mbio nao! Naona kama vile new locomotives nazo zitawasili November! Naona kama vile MSE Wall itawekwa baada ya overpass ya Bakhresa mpaka Pugu station maana sioni sababu ya tuta kuchelewa kuanza kujengwa maana culvert tayari zipo na tuta limeanza tena from 15 km mark!

kwa ninavyofaham, MSE ipo kbla ya bakhresa tu na baada ya bakhresa hakuna MSE yoyote
 
Ila 0-20 km kuna mabadiliko overpass ya Kigogo (Kawawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao overpasses za Nkrumah na Bakhresa zitakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa maana pia Pugu tayari kuna tuta na drainage system! nafikiri by December hii maneno itakuwa tayari!

pale kwa bakhresa kutakuwa na concrete bridge kama ya kariakoo gerezani
 
119048864_1247704265579271_780959752382883444_o.jpg
 
Back
Top Bottom