Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #8,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nuclear iko wapi ss mbn mnapenda kuongopewa ninyi watu, mnaweza ku afford gharama za nuclear? nyie subirini tuwauzie umeme wa bei rahisi muondokane na blackouts cz we are a Father of this region [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tunaenda nuclear sis Kenya.
Lipeni wazee pesa acheni kupoteza pesa kwa kokoto huko struggling heri mfunze watoto na hiyo hela.
Tanzania ilikopa wapi fedha za ujenzi wa stieglers gorge?Unakopa $3b kujenga struggling George ili uuzie Kenya umeme? [emoji23][emoji23] what a waste of money!
Hiyo hela heri mngefunza watoto IQ ipande au wazee wapate pension.
Substantiate your argument that we borrowed money for the construction of JNHP.Unakopa $3b kujenga struggling George ili uuzie Kenya umeme kwa lazima? [emoji23][emoji23] what a waste of money!
Hiyo hela heri mngefunza watoto IQ ipande au wazee wapate pension.
Ila 0-20 km kuna mabadiliko overpass ya Kigogo (Kawawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao overpasses za Nkrumah na Bakhresa zitakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa maana pia Pugu tayari kuna tuta na drainage system! nafikiri by December hii maneno itakuwa tayari!Ukiangalia video ya Aug update 2020 from 143km bado ndio wanafanya earth work, from 175km to 201km Nimeona mabadiliko makubwa...from zero km to 20km bado kazi mingi haijakamilika....from 20 km to 70 km 100%Complete, from 70km to 136 km well done
Let's hope...tuwape miezi 3 tena hawa jamaa wamalize viporo vyao...Maybe tutazamie Video ya Nov tukiwa Dec itakua imekamilika Au video ya Dec tuliwa Jan 2021 itakua completeIla 0-20 km kuna mabadiliko daraja la Kigogo (Kwawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao daraja la Nkrumah na Bakhresa yatakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa. maana pia Pugu tayari kuna tuta!
Mi naona kama December itakuwa tayari na uwezekano wa mpaka Kilosa ni mkubwa maana ujenzi wa Kilosa station unaenda mbio nao! Naona kama vile new locomotives nazo zitawasili November! Naona kama vile MSE Wall itawekwa baada ya overpass ya Bakhresa mpaka Pugu station maana sioni sababu ya tuta kuchelewa kuanza kujengwa maana culvert tayari zipo na tuta limeanza tena from 15 km mark!Let's hope...tuwape miezi 3 tena hawa jamaa wamalize viporo vyao...Maybe tutazamie Video ya Nov tukiwa Dec itakua imekamilika Au video ya Dec tuliwa Jan 2021 itakua complete
Nimeona mkuu...[emoji1666]
mlo unawashinda, tundu la choo linawashinda sembuse nuclear! ☝ 😀 😀 😀 ☝Hiyo nuclear iko wapi ss mbn mnapenda kuongopewa ninyi watu, mnaweza ku afford gharama za nuclear? nyie subirini tuwauzie umeme wa bei rahisi muondokane na blackouts cz we are a Father of this region [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti umeme wa nuclear, wasubiri tuwauzie umeme zen hz kelele za kusema wanaongoza kuwa na umeme mwingi tuwe tumezizika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mlo unawashinda, tundu la choo linawashinda sembuse nuclear! [emoji121] 😀 😀 😀 [emoji121]
Mi naona kama December itakuwa tayari na uwezekano wa mpaka Kilosa ni mkubwa maana ujenzi wa Kilosa station unaenda mbio nao! Naona kama vile new locomotives nazo zitawasili November! Naona kama vile MSE Wall itawekwa baada ya overpass ya Bakhresa mpaka Pugu station maana sioni sababu ya tuta kuchelewa kuanza kujengwa maana culvert tayari zipo na tuta limeanza tena from 15 km mark!
Ila 0-20 km kuna mabadiliko overpass ya Kigogo (Kawawa Road) halikuwapo mwezi uliopita na nadhani update ya mwezi ujao overpasses za Nkrumah na Bakhresa zitakuwa tayari haswa kama piers zitakuwa za steel. Kiukweli nadhani kuna uwezekano mkubwa wakaanza kutandika reli at least from station to Bakhresa maana pia Pugu tayari kuna tuta na drainage system! nafikiri by December hii maneno itakuwa tayari!
ohk basi itachukua muda!pale kwa bakhresa kutakuwa na concrete bridge kama ya kariakoo gerezani
ohk basi naona wanaweka usiku kuanza kujenga tuta!kwa ninavyofaham, MSE ipo kbla ya bakhresa tu na baada ya bakhresa hakuna MSE yoyote
Mabati!!!!!!!!!
haha wanajengewa vibanda aiseeMabati!!!!!!!!!
Mabati!!!!!!!!!
Mmeumia au[emoji3][emoji3][emoji3]haha wanajengewa vibanda aisee