The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Mm hapa bado najiuliza kuhusu gharama zilizotumika kujenga lile daraja zen linavunjwa how comes? Yn kwmb walijenga kitu ambacho hakikuwa planned? Nani atafidia hyo pesa ni Yarpi au GoT? Bado cjaelewa.BTW huwa nashangaa pele kamata/gerezani intersection watawekaje flyover halafu kwa mbele kuna cable stayed bridge na upande wa njia ya kuelekea gerezani kuna SGR viaduct? au watachimba underpass?