Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

BTW huwa nashangaa pele kamata/gerezani intersection watawekaje flyover halafu kwa mbele kuna cable stayed bridge na upande wa njia ya kuelekea gerezani kuna SGR viaduct? au watachimba underpass?
Mm hapa bado najiuliza kuhusu gharama zilizotumika kujenga lile daraja zen linavunjwa how comes? Yn kwmb walijenga kitu ambacho hakikuwa planned? Nani atafidia hyo pesa ni Yarpi au GoT? Bado cjaelewa.
 
amemaanisha lile cable bridge ambalo limesukwa! labda wanataka kulinyanyua zaidi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] updates za video is the only hope Danganyikas have kwa hii 100km ya esigiara.

Kotu kimekwama porini hakuna hela.
View attachment 1595043
 
Kuna test lilifeli wanasema.
Kuna mawili..

1. Kama lilifeli kwa minajili ya uwezo kuwa mdogo it means burden itadondokea upande wa Yarpi.

2. Kama lilifeli kwa minajili ya poor planning it means burden itadondokea kwa GoT.
 
mkuu kazi yetu tushamaliza.. sis hatupo tena huko.. wamebaki contractors wenyewe wa viaducts na electrical part kweny njia ya reli yenyewe haswa
sawa mkuu nimekupata vyema
 
Kuna mawili..

1. Kama lilifeli kwa minajili ya uwezo kuwa mdogo it means burden itadondokea upande wa Yarpi.

2. Kama lilifeli kwa minajili ya poor planning it means burden itadondokea kwa GoT.

Nadhani kulikuwa na shida ya design, tatizo ni la Yapi siyo GoT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…