Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

wako desperate kutafuta makosa hata wakati ujenzi unaendelea!
View attachment 1637419
Am no expert but basic physics gets me worried, This warping is not good!
For starters nilijisemea mimi sio expert, but that doesn't negate my right to be worried as any other tax paying citizen. Vile vile haimaanishi hutakiwi kuhoji chochote kwenye mradi kabla haujakamilika infact hiyo ndo hatua nzuri ya kufanya review!
 
taxpayer kwa nani? Wewe ni Mkenya kahoji Uhuru fedha za coronavirus zi wapi!
 
taxpayer kwa nani? Wewe ni Mkenya kahoji Uhuru fedha za coronavirus zi wapi!
Wewe kuniita mkenya, mTanzania, mmarekani mganda.... is neither here nor there haitobadilisha uraia wangu. Focus zaidi kwenye mada mzee.
 
Uhuru anatumia fokker kama hii!

Kama zinazotumiwa na baraza letu la mawaziri

Theres a difference between fokker 28 and 70 though, im sure it has a couple of years until its retired, wacha ndege ifanye kazi yake
 
Theres a difference between fokker 28 and 70 though, im sure it has a couple of years until its retired, wacha ndege ifanye kazi yake
so how do u tell yours is fokker 70 and not fokker 28?
 
Tanzania kuna only 400 registered engineers wakati Kenya engineers ni 2000. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Can you qualify your statement, registered with whom? What type of engineers are you talking about? There are many types of engineers ie Civil Engineers; Mechanical Engineers; Electrical Engineers; Air-craft engineers etc.
 
hamna cha ku-qualify go to EAC reports and you will see Tanzania has more engineers overall than any other country in EAC!
 
hamna cha ku-qualify go to EAC reports and you will see Tanzania has more engineers than any other country in EAC!
But there are a lot of qualified engineers who do not want to register with local registration boards as they have been registered with international organisations or others in more developed countries whose requisite are more stringent. Also others do not care about registration as they manage to make good business as they perform at their highest degree.
 
so this tendency of locals not wanting to register with local registration boards is only happening in Kenya only? every engineer has a number and so far a comparison is local registered engineers! And Tanzania beats Kenya by far!
 
Ushaiba ya nchi ingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapi penye imeandikwa ni Tanzania?

afadhar umekuja
dogo hio ni website ya engineers registration board tz (erb.go.tz)

na hizi idadi ni kwa wale waliojiregister tu kwenye hii board.. kuna wengine ni maengineers lkn hawajiregister!
 
afadhar umekuja
dogo hio ni website ya engineers registration board tz (erb.go.tz)

na hizi idadi ni kwa wale waliojiregister tu kwenye hii board.. kuna wengine ni maengineers lkn hawajiregister!
Leta link.
 
www.erb.go.tz
au
registration.erb.go.tz

karibu kwa maswal mengine

wazee huyu kwenye hii sector hachomoki [emoji23][emoji23]

kaingia kwenye 18 za watu[emoji23]
Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…