joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwahiyo unekubali kwamba Kenya imeachwa mbali sana katika idadi ya Engineers na Tanzania?, Hivyo hivyo katika idadi ya Doctors na Lawyers, tunewapita kwa mbali sanaOk, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app