Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo unekubali kwamba Kenya imeachwa mbali sana katika idadi ya Engineers na Tanzania?, Hivyo hivyo katika idadi ya Doctors na Lawyers, tunewapita kwa mbali sana

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe huoni aibu kuwa nchi ya watu 60 million kuna engineers 400 pekee?[emoji1787][emoji1787]
kwa style hii,,,engeneers wenu ni kiboko,,,kweli mna maengeneer wengi tena bora dunia nzima tunatambua....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
images (1).jpg
images (2).jpg
 
Wazee wa kuficha ishu zao za millitary, mpka oder wanaficha kule armoury wanaachiwa wanachukua vitu kisiri alafu wanafanya kulipa hela tu[emoji1787][emoji1787]
tuko vizuri kwa huo upande.....msiguse
 
Registered professional engineers ni 2,067.

Now let's add

hata uadd vip ujue sisi tuna engineers kuliko nyinyi..

pia, kuna jamaa mmoja kutoka kenya (nadhan alikuwa kiongozi kwenye board yenu) aliwahi kuja kwenye kongamano letu (ambalo mim mwenyewe nikikuwepo) akasema maengineers wa tanzania wapo wengi kuliko wa kenya

got no time to argue for that

afu mtu umesomea mambo ya biology sijui mambo gan unataka kuargue kuhusu mambo ya engineers.. mwanzo ulikuja na 2000 saiz umekuja na mengine [emoji1].. mlete engineer twende sawa, because he may know a lot of things than you non engineer
 
Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
uachage ujinga,huwa mnajitutumua kwa vitu ambavyo hamna huwa mnadanganyana sana...[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787][emoji1787]

huwa mnapenda kuzungumzia vitu msivyovijua kwa kuokota okota vilink uchwara......

endeleeni tu,,mwanzo nilikuambia kwa kukukejeri kuwa hata kwenye millionaires mlijitia vidole hivyo hivyo
 
ashabadili gear tayar [emoji23][emoji23].. eti wapo 19,000+ wakat mwanzo alisema wapo 2000 [emoji23][emoji23]
 
Watu wazima mnabishania utoto,
Ati number za registered engineers!!!
3rd world mentality.
 
ashabadili gear tayar [emoji23][emoji23].. eti wapo 19,000+ wakat mwanzo alisema wapo 2000 [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] ni mpuuzi sana yaani wakenya ni kunguni kabisa huwa wanacreate vilink uchwara kisha huwa wanachukulia kama ni real evidence bila kuangalia hali halisi iliyopo ndani ya nchi yao......ndiyo maana wanaishia kuumbuka tu,,,,

usidiscuss. na huyo kichaa kizuri ni mweupe sana hajui hata anachokizungumza mara 2000 sasa ivi karuka yupo 19,000 na anaongelea habari za kuadd
 
Registered professional engineers ni 2,067.

Now let's add
17,101 + 433+ 2,067 = 19,601.

So mmetushinda na 950 engineers and remember these are 2019 figures wakati zako ni 2020.
sasa ivi umetoka kwenye 2000 engeneers umepaa kama yesu umefikisha 19,000 engeneers..[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

we ni kichaaaaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] ni mpuuzi sana yaani wakenya ni kunguni kabisa huwa wanacreate vilink uchwara kisha huwa wanachukulia kama ni real evidence bila kuangalia hali halisi iliyopo ndani ya nchi yao......ndiyo maana wanaishia kuumbuka tu,,,,

usidiscuss. na huyo kichaa kizuri ni mweupe sana hajui hata anachokizungumza mara 2000 sasa ivi karuka yupo 19,000 na anaongelea habari za kuadd

at least nimemfungua ubongo.. [emoji23][emoji23].. either aendelee kuwadanganya wenzie Tanzania kuna maengineers 400 tu afu wao wapo 2000
 
at least nimemfungua ubongo.. [emoji23][emoji23].. either aendelee kuwadanganya wenzie Tanzania kuna maengineers 400 tu afu wao wapo 2000
huyo ilibidi tumchore tu aendelee na ujinga wake......

huyo ndiyo mzee wa 400 kwa 2000 inapendeza zaidi.....tumpigie makofi kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wao wana only 2000 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
jamaa kashatoka uko sasa hivi kahama huku anasema kuwa wapo 19,000 engeneers,,,,yaani anahangaika kugoogle nondo kwa kutafuta link uchwara kinachotokea sasa kila link anayoipata inakuwa ni tofauti na vilink alivyovitafuta nyuma.....
watu tuna deal na real source kutoka sehemu husika yeye anadeal na link uchwala na hii ndiyo kawaida ya wakenya wote..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha Teargass I told you don't mess with that nigga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom