BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Hard terrain plus land payments za wenyeji,That's a track length i.e. 250km of main line plus 91 km of parallel length! At a cost of $1.3 bln for electrical SGR!
Mind you Nairobi-Naivasha diesel SGR was 120 km and built at a cost of $1.5 bln!
safi sana hatuna mda wa kupoteza
Hard terrain plus land payments za wenyeji,
Plus am sure hii yenu nikama ya Ethiopia,cheap but expensive (class2)
Then Mombasa to Nairobi Ni 601km.
Nairobi suswa 217km
Waturuki sio waarabu bali ni wazungu sema hawapo kwenye European Union [emoji1099], au ushasahu Uturuki inacheza UEFA [emoji23] au sio mpenz wa mpira
Hard terrain plus land payments za wenyeji,
Plus am sure hii yenu nikama ya Ethiopia,cheap but expensive (class2)
Then Mombasa to Nairobi Ni 601km.
Nairobi suswa 217km
Wakenya hawawezi kuwa na bargaining power maana kila kitu hufanywa na mchina. Kuanzia pre-feasibility, feasibility study, preliminary design, detailed design, construction, financing, & operating! Sasa hapo ni lazima tu watapigwa.Twice the track Length less the construction cost...hii sasa ndio power of negotiations.
Mimi nadhani kuwa ishu ya kuwapa wachina imekaa "kidiplomasia" na "kimkakati" zaidi. Sidhani kama serikali hairidhiki saaana na kazi ya Yapi.Hapo imebaki lot moja tu ya kutoka Makutupora mpaka isaka km 426 iv...Yapi nadhani kujivuta vuta kwao kumewakosesha hii lot.
Tumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
hamna kitu kibaya kama kuona jirani akiweza nawe ukishindwa na kuamua kupotosha! At the end of the day SGR Dar-Mwanza itaisha watabaki wakikodoa!Tumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
Hakuna kitu km electric sgr[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuwa ni maajabu sn kwakweli, ten years electric sgr from Dar to Mwanza, si mchezo.