The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nioneshe electric train double stack ukiacha ile mitungi inayotaka kuanza kule India, ukipata nijulishe.Kwhyo yale mabehewa ya double stack mlio oder mtayapeleka wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mturuki kiboko, km huna hela ya kujitengezea kitu tulia bana..
Electric trains double stack zitele[emoji23][emoji23]
In africa double utaikuta kenya na sgr dume[emoji23][emoji23]
Kweli ccm kawapumbaza
Kwnn unaiita sgr dume au ndo inferiority complex [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Kwhyo yale mabehewa ya double stack mlio oder mtayapeleka wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mturuki kiboko, km huna hela ya kujitengezea kitu tulia bana..
Electric trains double stack zitele[emoji23][emoji23]
In africa double utaikuta kenya na sgr dume[emoji23][emoji23]
Kweli ccm kawapumbaza
Unafikiria hyo ana make-up[emoji23][emoji23]Kwnn unaiita sgr dume au ndo inferiority complex [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Kwhyo leo mnakataa wakati juzi mlipinga nilipowaambia mturuki kawapinga kw nguzo ju haziwezi pitisha double stack[emoji23][emoji23]..Nioneshe electric train double stack ukiacha ile mitungi inayotaka kuanza kule India, ukipata nijulishe.
so tayari mabehewa yenu yashachakaa namna hii? na mnatumia mandarin script?Vitu km hivi mtaviskia ma redioni tuView attachment 1675654
Vitu km hivi mtaviskia ma redioni tuView attachment 1675654
Nimecheka sana wallahi, yn vita ya sgr imewashinda wameamua kuja na double stack theory huku wanajua kabisa yetu sio lazima iwe double stacked so as to be efficient [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dude lao linatoa moshi sio mchezo. Alafu linagonga sijui hawaunganisha michuma ile.Nimecheka sana wallahi, yn vita ya sgr imewashinda wameamua kuja na double stack theory huku wanajua kabisa yetu sio lazima iwe double stacked so as to be efficient [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amazing
Hayo sio ya kwetu, rangi yetu sisi ni km maziwa maziwa hiviso tayari mabehewa yenu yashachakaa namna hii? na mnatumia mandarin script?
huwa hawana sera wana propaganda za kishamba kila kitu kipo wazi...huwa wanajihangaisha tu[emoji1787][emoji1787]Tumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
Nilisema hapa, muda si mrefu tutaanza kuongea lugha moja. Mpaka propaganda za kipuuzi kama hizi zinaanza ujue na wao washatuona tukiwaomba sight.Tumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
Bado tenda hazijatangazwa.vipabde vya makutopra-tabora na tabora- mwanza anajenga nani? maana maana juzi tumesign mwanza isaka
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilisema hapa, muda si mrefu tutaanza kuongea lugha moja. Mpaka propaganda za kipuuzi kama hizi zinaanza ujue na wao washatuona tukiwaomba sight.
Kwa hiyo we jamaa unadhani tumeagiza units 50 double stack halafu tujenge handaki zisizopitisha hizo containers! Kwa hiyo unadhani tumeagiza za kupigia picha siyo. Kutangulia siyo kufika mtulie dawa ziendelee kuwaingia.Vitu km hivi mtaviskia ma redioni tuView attachment 1675654
Nilisema hapa, muda si mrefu tutaanza kuongea lugha moja. Mpaka propaganda za kipuuzi kama hizi zinaanza ujue na wao washatuona tukiwaomba sight.