Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Aga Khan has nothing to do with this! Sema his editor in Nairobi!
 
kaongea kwa uchungu sana!
  • Chinese support??
  • the first visit by a top Chinese government official in 10 years??? Xi Jinping alikuja Tanzania in 2013
  • the now-dilapidated textile factory??
 
kaongea kwa uchungu sana!
  • Chinese support??
  • the first visit by a top Chinese government official in 10 years??? Xi Jinping alikuja Tanzania in 2013
  • the now-dilapidated textile factory??
yaan wakenya hadi waandishi wao wa habari wana chuki na Tanzania....sijui tumewakosea nin,,,yaani wanapoteza mda kuandika fake story....

mmiliki inabidi awe makini,aliowaajiri hawajui taaruma yao
 
yaan wakenya hadi waandishi wao wa habari wana chuki na Tanzania....sijui tumewakosea nin,,,yaani wanapoteza mda kuandika fake story....

mmiliki inabidi awe makini,aliowaajiri hawajui taaruma yao
"taaruma" ndo nn?
 
MY TAKE
Baada ya airports, quality roads, bridges, water vessels, abattoirs, markets, hospitals na Bus Terminals tunaenda kutikisa nyavu za SGR, waiting for locomotives to arrive!

R u ready to be broken heart, the people of the North?

CC: Tony254
 
Hiyo station ya Dar ni levels. Kuanzia exterior mpaka interior design. Kuna wale pimbi waliita cowshed nadhani sasa wameshaipata fresh ya shamba.
 
Kwa hiyo we jamaa unadhani tumeagiza units 50 double stack halafu tujenge handaki zisizopitisha hizo containers! Kwa hiyo unadhani tumeagiza za kupigia picha siyo. Kutangulia siyo kufika mtulie dawa ziendelee kuwaingia.
Kawaulize ccm mbona vipi wakayi mumeshaagiza hzo units tayari wakati huku mturuki anafanya yake
 
Mturuki kaona hata ngoja nitie Heshima, dharau zimezidi[emoji16]
 
Kawaulize ccm mbona vipi wakayi mumeshaagiza hzo units tayari wakati huku mturuki anafanya yake
Rudia kuandika ukiwa umetulia. Sijaelewa hata unamaanisha nini. Kiswahili mbona chepesi tu. Una haraka ya wapi? "mbona vipi wakayi". Ndiyo nini hiki?
 
Wakenya wamechoka sana na Tz mana haipiti wiki wanapokea kitasa, tuliwaambia tukianza kuzindua msiseme hatukuwaambia.

Cc: lwiva

[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji85][emoji85][emoji204][emoji204]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…