Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 509
- 1,381
Roho inauma mbaya, lakini hamuwezi kutoka hapa kwenye standard ya gari moshiMall[emoji23][emoji23]
Huhu kwani ni coloho mall!!!Jamani Majirani tuliwaambia tunajenga Station ya Train ya Umeme na sio stendi ya gari moshi[emoji28][emoji28]
View attachment 1677493
View attachment 1677494
View attachment 1677495
View attachment 1677496View attachment 1677497View attachment 1677498
La kwenu liko wapiRoho inauma mbaya, lakini hamuwezi kutoka hapa kwenye standard ya gari moshi
Mmeanza kutii ss mana terminals zetu mmeanza kuzifananisha na either malls or airports [emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwn ni mall[emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] taratibu mnatii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huhu kwani ni coloho mall!!!
Sisi tulijenga 1970s linafanya kazi kati ya tz na zambia. Nyie mmejenga 20s mmetia aibuLa kwenu liko wapi
Si utakufa kw stress jamani, yani mpka umechanganyikiwa unasema mlikua na sgr 70s[emoji23][emoji23]Sisi tulijenga 1970s linafanya kazi kati ya tz na zambia. Nyie mmejenga 20s mmetia aibu
Mbona ya kawaida tu hyo
Bro Magu sasa awape likizo kidogo hawa majirani. This is humiliating.
Mturuki kiboko[emoji23]Mmeanza kutii ss mana terminals zetu mmeanza kuzifananisha na either malls or airports [emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi wajinga ndio mmejengewana kuambiwa sgr. Hiyo standard ya TAZARA mchina anajua alichowafanyia. Kama hujui kaa kimyaSi utakufa kw stress jamani, yani mpka umechanganyikiwa unasema mlikua na sgr 70s[emoji23][emoji23]
Tazara my foot[emoji23][emoji23]Nyinyi wajinga ndio mmejengewana kuambiwa sgr. Hiyo standard ya TAZARA mchina anajua alichowafanyia. Kama hujui kaa kimya
Mchina alishawambia sgr yenu ni kama TAZARA. Eti Sgr!Tazara my foot[emoji23][emoji23]
#mchinakatafutwaMchina alishawambia sgr yenu ni kama TAZARA. Eti Sgr!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1678154
Hii ni ya 70s nyinyi mkajengewa miaka hii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchina hakupata tabu zaidi ya C&P
#mchinakatafutwa
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Mchina katafutwa au kaja mwenyewe, unasahau haraka sn ww[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]#mchinakatafutwa