Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Dar Chalinze expressway bado ina umuhimu wake, tofauti na hapo basi ile outer ring road itasaidia sana kutoa heavy trucks katikati ya mji maana ni kero kubwa,kwanza hayana spidi kbs mpk yachanganye!!!magari mengine yanashindwa kwenda kwa spidi pia,barabara haisapoti maeneo ya maintenance likiharibika moja tu wote mmelala kamba hiyoo,bado yanahatarisha usalama wa raia barabarani,Yana-encourage kuwa na ICD katikati ya mji malori yamepaki krb barabara yote ya Mandela yakisubiri kupakia au kupakua mizigo,fujo mtindo mmoja.
 
Hayo yatakuwa yanaishia Kwala.
 
Hapo ndipo yatapitia yale mabehewa 52 ya double stack mlioagiza sio, shikamoo mturuki
hapo ni kuelekea station ya abiria, japokuwa cargo train hazitakuja station, still an equivalent of doublestack i.e. double decker PAX trains zinapita hapo bila tatizo lolote!
 
Zile ni bullet co mizinga ya nyuki a.k.a mitungi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji85][emoji85]
Tuletee bullet ambazo zina mabehewa ya containers nyuma[emoji23][emoji23]
 
hapo ni kuelekea station ya abiria, japokuwa cargo train hazitakuja station, still an equivalent of doublestack i.e. double decker PAX trains zinapita hapo bila tatizo lolote!
Kwhyo cargo trains wanatengeneza njia yake
 
Kwhyo cargo trains wanatengeneza njia yake
cargo train ina-branch out at Ilala kwenda bandarini! Pitia old clips utaona, ila still double-decker coaches zinapita! hapo ni zaidi ya 16 feet!

Najua unalazimisha unachoamini ila project zetu huwa hazina ubabaishaji!
 
Zile ni bullet co mizinga ya nyuki a.k.a mitungi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji85][emoji85]
yaani jamaa roho zinawauuma, mwanzo walikuwa wanadai reli yetu haitakuwa ya umeme baada ya kuona transmission line imekamilika wamezodka, pia walikuwa wanaponda stations saahii wamenyamazishwa! Sasa ubishi umebaki kwenye doublestack wagons, zikifika watakimbia humu ndani! Kisa hawataki kuamini Mchina aliwa-short change Kenya baada ya kuona ufala wao!
 
Si ujibu swali mjomba mbona unaruka ruka sasa...
Train za mizigo zitapitia wapi
Ww tulia wacha pupa, ushaambiwa double stack zitakuwepo ss utulie ili ujue Watz wana akili kiasi gani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Stations zenu ni upuuzi, double stack labda ya kichato style manake sijaona transmission yakupitisha mabehewa ya double stack..
Unless uje unambie train za mizigo dar hazitopita hapo kw viaduct, mbona swala rahisi tu
 
Ww tulia wacha pupa, ushaambiwa double stack zitakuwepo ss utulie ili ujue Watz wana akili kiasi gani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Akili za kijamaa hzo, na km zitapitia hapo mumepigwa na msahau kabisa swala la double stack..
Labda uje na ushahidi km train za mizigo hazitopitia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…