THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Dar Chalinze expressway bado ina umuhimu wake, tofauti na hapo basi ile outer ring road itasaidia sana kutoa heavy trucks katikati ya mji maana ni kero kubwa,kwanza hayana spidi kbs mpk yachanganye!!!magari mengine yanashindwa kwenda kwa spidi pia,barabara haisapoti maeneo ya maintenance likiharibika moja tu wote mmelala kamba hiyoo,bado yanahatarisha usalama wa raia barabarani,Yana-encourage kuwa na ICD katikati ya mji malori yamepaki krb barabara yote ya Mandela yakisubiri kupakia au kupakua mizigo,fujo mtindo mmoja.