Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania


Kwenye Kongamano la juzi kati liliandaliwa na TRC na kushirikisha wadau, mkurugenzi wa CCECC anakwambia hii project tutaifanya kwa speed sana na kwa haraka hvyo wale local contractors wanaotaka kuapply for supply ya services mbali mbali wanabidi wawe na labor ya kutosha na finance pia uzoefu kwani wanataka kuikimbiza project ikamilike kwa wakati. Yule Mchina wa CCECC kanikosha sana.
 
Hii mchina anatakiwa akamalishe kwa miaka mingapi mkuu?
 
Hapana mkuu, napenda kuona mwanamke ana kichuguu lkn kwng ni haramu kwa matumizi, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu usiwaze. Vichuguu ni sehemu ya uumbaji wake na huwapa maumbo mazuri sana. Haya ni mapambo ya dunia Mungu aliyaumba kwa ufundi wa hali ya juu. Wanaume tupambane mapambo yetu yazidi kupendeza. Acha tuufurahie na kuutukuza uumbaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…