Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #9,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mchina anatakiwa akamalishe kwa miaka mingapi mkuu?Kwenye Kongamano la juzi kati liliandaliwa na TRC na kushirikisha wadau, mkurugenzi wa CCECC anakwambia hii project tutaifanya kwa speed sana na kwa haraka hvyo wale local contractors wanaotaka kuapply for supply ya services mbali mbali wanabidi wawe na labor ya kutosha na finance pia uzoefu kwani wanataka kuikimbiza project ikamilike kwa wakati. Yule Mchina wa CCECC kanikosha sana.
Somebody atuambie jinsi ya uploading videodaraja la sgr kilosa
you can see the train inapita chini ya daraja mwanzoni mwa mdomo wa tunnel .. also the river
View attachment 1691574View attachment 1691575View attachment 1691576View attachment 1691577View attachment 1691578View attachment 1691579
i wish i could know how to upload videos here from my phone gallery
Unatumia jf app?daraja la sgr kilosa
you can see the train inapita chini ya daraja mwanzoni mwa mdomo wa tunnel .. also the river
View attachment 1691574View attachment 1691575View attachment 1691576View attachment 1691577View attachment 1691578View attachment 1691579
i wish i could know how to upload videos here from my phone gallery
Unatumia jf app?
Log in jf kwenye browser then utaona sehemu ya ku-upload video.
Mkuu, inaonesha unapenda hii vitu😁Kwmb kontena unamaanisha weseree auuu, kwmb mtungi au sio mkuu au sijaelewa mm mazee, kwmb kama huu au[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1688652View attachment 1688653
Hapana mkuu, napenda kuona mwanamke ana kichuguu lkn kwng ni haramu kwa matumizi, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu, inaonesha unapenda hii vitu[emoji16]
Mkuu usiwaze. Vichuguu ni sehemu ya uumbaji wake na huwapa maumbo mazuri sana. Haya ni mapambo ya dunia Mungu aliyaumba kwa ufundi wa hali ya juu. Wanaume tupambane mapambo yetu yazidi kupendeza. Acha tuufurahie na kuutukuza uumbaji wake.Hapana mkuu, napenda kuona mwanamke ana kichuguu lkn kwng ni haramu kwa matumizi, haiwezekani na haitakuja kutokea kamwe mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatutaki zije zikae tu zianze kupigwa vumbi bandarini. Acha ziendelee kupigwa kiyoyozi huko kiwandani kwa watani zake Kim.Hizi bureti treni hazifiki?