Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu

Marehemu hasemwi vibaya mashashola. Muache apumzike hukumu ya kweli ni kwa Mungu tu. Kama huna zuri la kumsema mwendazake basi ni bora ukanyamaza tu. Usihukumu usije ukahukumiwa pia. Najua unafanya ili kujifurahisha ila sio Sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
Km hujui JPM is a man behind huu uzi...km asingetuheshimisha kwa huu mradi huu uzi usingekuepo...haya maneno yako hovyo hovyo km vile yeye ndo aliedizaini, kusimamia au kumwaga zege ktk hio overpass ni kumkosea heshima Raisi wetu...
Km huna cha maana cha kuchangia kuna mawili, unaweza kukaa kimya au ukaenda kuchangia nyunzi ngine maana JF ina nyuzi nyingi...
 
Kinachomuuma ni hii miradi ya maendeleo iliyo achwa na JPM.
Unadhani wanapenda Tanzania kujenga SGR tena ya umeme?
Wewe hushangai ni mkenya lakini anamchukia JPM na wala hakua raisi wake!
Usisahau pia katika wakenya 10...7 wana depression za kiwango cha juu.
 
Original thread ilikuwa Kenya sgr vs ETHIOPIA.
 
Sijawahi kuona mtu anamchukia rais ambaye siye wake, eti anakandamiza uhuru wa habari ss inakuhusu nini, huko kwenu kuna uhuru wa habari? Kwa kawaida nilitegemea kuona kama Rais wa nchi ambayo mna battle nayo ni mbovu basi wewe ilibidi uwe unamshangilia ili azidi kuharibu uchumi wa hyo nchi mahasimu wenu mfano sisi tunavyomfurahia Uhuru jinsi anavyoiharibu Kenya, tunaombea asitoke madarakani na tunampenda kweli kweli, ila cha ajabu huyu anamchukia Rais ambaye siye wake.

Jibu ni kwamba Wakenya walikuwa wanamuhofia sn Magu cz ameleta mapinduzi ya kweli na kawanyoosha kweli kweli mpk leo hii wanaonekana takataka mbele ya mTz, hiyo ndiyo maana huyu jamaa mpk leo anashindwa ku move on licha ya kwamba mzee hatunaye, yn cc tuliofikwa na msiba tuna move on ila yeye bado ameshindwa kabisa kumsahau Magu yn anaumia kuona ameacha miradi ambayo wao kwao ni ndoto na hawawezi kuitekeleza mpk misaada hicho ndicho kinachomuuma na kumfanya kuendelea kumtusi Magu akidhani kwamba atajipa pumziko la moyo.
 
picha mbona unatoa kiupande upande? Anyway kama consultant kaona mapungufu na kushauri pabomolewe then its big up to him! Kuna watu SGR yao mapungufu yalionekana baada ya mvua kunyesha na kusomba kingo za tuta(embankment)!

HAhaha usijaribu kujiliwaza na hii picha ya 2016, Hio ya SGR Kenya haikuwa makosa, mvua ilinyesha kabla ujenzi kukamilika na tuta kuwekewa slop protection! Yenu imevunjwa kwasababu ya makosa ya engineer, big big difference!
 
Operations are in full gear at the Port of Mombasa at 90 percent berth occupancy, with vessels currently discharging/ loading in container and conventional cargo berths.
A total of 44 vessels are expected to call the Port of Mombasa in the next two weeks, with 29 vessels expected this week.


 
Finally Ethiopia SGR is making headways

















-----------------------------------------------

The headway is that freight volumes are increasing significantly which brings a positive reflection on revenues









Ningependa kupongeza Ethiopia kwa kukaza kamba, waendelee hivyo hivyo progress is progress, Najua ingekua ni huku Kenya ingekua SGR imeshatupiliwa mbali na kila mtu kama failed project kama ingechukua mda mrefu hivi kabla kuanza kuonekana kufanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…