NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Shida yako ni moja, unapenda ukweli sana. 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yako ni moja, unapenda ukweli sana. 🤣 🤣 🤣
Hili daraja mara ya kwanza walivunja kipande cha kwanza kwa zaidi ya wiki mbili wakakijenga tena nguzo mpya now wameanza nguzo ya upande wa pili, maana kuvunja tu ni zaidi ya wiki mbili mpk tatu.
[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
Hivi wewe Magu alikuf*ra nn mana wewe upo na Magu tu kila cku.[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
Km hujui JPM is a man behind huu uzi...km asingetuheshimisha kwa huu mradi huu uzi usingekuepo...haya maneno yako hovyo hovyo km vile yeye ndo aliedizaini, kusimamia au kumwaga zege ktk hio overpass ni kumkosea heshima Raisi wetu...[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
Kinachomuuma ni hii miradi ya maendeleo iliyo achwa na JPM.Km hujui JPM is a man behind huu uzi...km asingetuheshimisha kwa huu mradi huu uzi usingekuepo...haya maneno yako hovyo hovyo km vile yeye ndo aliedizaini, kusimamia au kumwaga zege ktk hio overpass ni kumkosea heshima Raisi wetu...
Km huna cha maana cha kuchangia kuna mawili, unaweza kukaa kimya au ukaenda kuchangia nyunzi ngine maana JF ina nyuzi nyingi...
Original thread ilikuwa Kenya sgr vs ETHIOPIA.Km hujui JPM is a man behind huu uzi...km asingetuheshimisha kwa huu mradi huu uzi usingekuepo...haya maneno yako hovyo hovyo km vile yeye ndo aliedizaini, kusimamia au kumwaga zege ktk hio overpass ni kumkosea heshima Raisi wetu...
Km huna cha maana cha kuchangia kuna mawili, unaweza kukaa kimya au ukaenda kuchangia nyunzi ngine maana JF ina nyuzi nyingi...
Acha kukurupuka...tafta huo uzi wa Sgr Kenya vs Ethiopia ulioanzishwa b4 hu uzi then compare the dates.Original thread ilikuwa Kenya sgr vs ETHIOPIA.
Sijawahi kuona mtu anamchukia rais ambaye siye wake, eti anakandamiza uhuru wa habari ss inakuhusu nini, huko kwenu kuna uhuru wa habari? Kwa kawaida nilitegemea kuona kama Rais wa nchi ambayo mna battle nayo ni mbovu basi wewe ilibidi uwe unamshangilia ili azidi kuharibu uchumi wa hyo nchi mahasimu wenu mfano sisi tunavyomfurahia Uhuru jinsi anavyoiharibu Kenya, tunaombea asitoke madarakani na tunampenda kweli kweli, ila cha ajabu huyu anamchukia Rais ambaye siye wake.Kinachomuuma ni hii miradi ya maendeleo iliyo achwa na JPM.
Unadhani wanapenda Tanzania kujenga SGR tena ya umeme?
Wewe hushangai ni mkenya lakini anamchukia JPM na wala hakua raisi wake!
Usisahau pia katika wakenya 10...7 wana depression za kiwango cha juu.
Ni hiiAcha kukurupuka...tafta huo uzi wa Sgr Kenya vs Ethiopia ulioanzishwa b4 hu uzi then compare the dates.
Wacha upumbavu! hii nimeanzisha mwenyewe! inakaa wewe ni Sammuel999Ni hii
Walifanya Editing into Tanzania.
Puga
HAhaha usijaribu kujiliwaza na hii picha ya 2016, Hio ya SGR Kenya haikuwa makosa, mvua ilinyesha kabla ujenzi kukamilika na tuta kuwekewa slop protection! Yenu imevunjwa kwasababu ya makosa ya engineer, big big difference!picha mbona unatoa kiupande upande? Anyway kama consultant kaona mapungufu na kushauri pabomolewe then its big up to him! Kuna watu SGR yao mapungufu yalionekana baada ya mvua kunyesha na kusomba kingo za tuta(embankment)!
![]()