Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Naona unamuabudu marehem Magu kuliko hata unavyo muwaza baba yako...keep it up[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unamuabudu marehem Magu kuliko hata unavyo muwaza baba yako...keep it up[emoji23][emoji23][emoji23] meko shetani anakuchoma tu
Nyie SGR-Kenya Mna-Make losses mpaka saa hii!Finally Ethiopia SGR is making headways
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
-----------------------------------------------
The headway is that freight volumes are increasing significantly which brings a positive reflection on revenues
![]()
![]()
![]()
Ningependa kupongeza Ethiopia kwa kukaza kamba, waendelee hivyo hivyo progress is progress, Najua ingekua ni huku Kenya ingekua SGR imeshatupiliwa mbali na kila mtu kama failed project kama ingechukua mda mrefu hivi kabla kuanza kuonekana kufanya kazi.
Hahaha. Geza Ulole naona SGR yenu mnazidi kubomoa. Tegea ikamilike mwaka ujao. Halafu unashinda huku ukidhihaki na kuidharau Lamu port kwa kuchelewa. Nyani haoni kundule.
KPA hiihii wali-import cranes hazifanyi kazi na IMF imetoa condition iwe restructured ili Kenya ipewe mkopo!KPA ndio ilisema. Si nilipost hapa message yao. Sasa unapinga KPA? Anyway mimi naamini KPA.
Unataka ban nyingine? 🤣 ☝️Hahaha. Geza Ulole naona SGR yenu mnazidi kubomoa. Tegea ikamilike mwaka ujao. Halafu unashinda huku ukidhihaki na kuidharau Lamu port kwa kuchelewa. Nyani haoni kundule.
Hio ni methali. HahahaUnataka ban nyingine? 🤣 ☝️
ngoja "Israili" apite...Hio ni methali. Hahaha
hakuna bandari yeyote ile duniani inayoweza kubaki empty space bila ya containers vinginevyo jua basi hiyo bandari haina mizigo inayoingia ,,,KPA ndio ilisema. Si nilipost hapa message yao. Sasa unapinga KPA? Anyway mimi naamini KPA.
Wewe unadandia treni kwa mbele hata hujui mjadala unahusu nini. Whether bandari ni empty or not tunazungumza kuhusu uwezo wa bandari la Mombasa kupakia mizigo directly kutoka kwa meli hadi kwenye treni bila kuiweka mizigo chini.hakuna bandari yeyote ile duniani inayoweza kubaki empty space bila ya containers vinginevyo jua basi hiyo bandari haina mizigo inayoingia ,,,
kwenye masuala ya ushuru kwa wateja kungojea mizigo yao kuna vitu vingi vya kimsingi lazima vizingatiwe..
akili ya kuambiwa changanya na yako,tuache utoto kwenye vitu serious
yaani umerudi pale pale [emoji1787][emoji1787]...Wewe unadandia treni kwa mbele hata hujui mjadala unahusu nini. Whether bandari ni empty or not tunazungumza kuhusu uwezo wa bandari la Mombasa kupakia mizigo directly kutoka kwa meli hadi kwenye treni bila kuiweka mizigo chini.
Containers zingine huwa zinashushwa hususan containers ambazo hazielekei upande wa Nairobi. Kwa mfano containers zinazoelekea Mombasa au Kwale au Kilifi au hata Tanzania lazima zishushwe na kuwekwa chini. Ila zinazokwenda Nairobi hazigusi chini, zinawekwa direct kwenye train na kuchana mbuga hadi Nairobi.yaani umerudi pale pale [emoji1787][emoji1787]...
kwa hiyo hizo containers zote zinazopakuliwa kutoka kwenye meli kwa hapo mombasa port huwa zinapakuliwa na kuisha bila kushushwa ...?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha ujinga tony....Containers zingine huwa zinashushwa hususan containers ambazo hazielekei upande wa Nairobi. Kwa mfano containers zinazoelekea Mombasa au Kwale au Kilifi au hata Tanzania lazima zishushwe na kuwekwa chini. Ila zinazokwenda Nairobi hazigusi chini, zinawekwa direct kwenye train na kuchana mbuga hadi Nairobi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha ujinga tony....
wewe huyo huyo uliyesema mombasa porn hauwezi kukuta containers,sasa ivi unakuja hapa kujidanganya kuwa Containers zote zinazokwenda nairobi huwa hazishushwi chini bali hupakuliwa direct kutoka kwenye meli....
Je wewe ndiye huwa unapangiliaga hizo containers kwamba za nairobi zinakaa juu za mombasa zikae,kilifi n.k zikae chini..?
wacha porojo kwanza asilimia kubwa ya contaoners zinaenda nairobi pili meli haiwezi kupoteza mda hapo kwa kungojea train,au truck ije na kupakua sababu kadri inavyokaa inakuwa inakatwa kato,,
Your reasoning is very pathetic. Not all cargo that unloaded at the Port are destined towards Nairobi. Some remain in Mombasa so they don't need to be put on the train. The ones that are also meant to go to Tanzania don't have to be loaded on a train. So if you see those containers there you have to know that either they are not going to Nairobi or they are the empty ones that are always returned.Tony254 zile doubledeck zipo wapi na hizi container zinafanya nn? Si ulisema zinapakuliwa na kuwekwa kwenye wagons straight?
![]()
Una akili za ajabu sana, kwani design za station zimebadilika? mbona ziko hivyo hata kabla ujenzi haujaanza. Hayo ya riba ni ya ukaguzi wa CAG kwa FY 2019/20Hata SGR tumepigwa
Main Station kama soko la machinga ilala
Sub station kama police posts
Watu wamechelewesha mradi ili wapige riba ..
CAG anasema tumepigwa 35 billion kwa ucheleweshaji mradi kipande cha Dar-Moro peke yake.
Haya Mataga pigeni makofi kidogo.....