Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nyie SGR-Kenya Mna-Make losses mpaka saa hii!
 
KPA ndio ilisema. Si nilipost hapa message yao. Sasa unapinga KPA? Anyway mimi naamini KPA.
KPA hiihii wali-import cranes hazifanyi kazi na IMF imetoa condition iwe restructured ili Kenya ipewe mkopo!
 
KPA ndio ilisema. Si nilipost hapa message yao. Sasa unapinga KPA? Anyway mimi naamini KPA.
hakuna bandari yeyote ile duniani inayoweza kubaki empty space bila ya containers vinginevyo jua basi hiyo bandari haina mizigo inayoingia ,,,

kwenye masuala ya ushuru kwa wateja kungojea mizigo yao kuna vitu vingi vya kimsingi lazima vizingatiwe..

akili ya kuambiwa changanya na yako,tuache utoto kwenye vitu serious
 
Wewe unadandia treni kwa mbele hata hujui mjadala unahusu nini. Whether bandari ni empty or not tunazungumza kuhusu uwezo wa bandari la Mombasa kupakia mizigo directly kutoka kwa meli hadi kwenye treni bila kuiweka mizigo chini.
 
Wewe unadandia treni kwa mbele hata hujui mjadala unahusu nini. Whether bandari ni empty or not tunazungumza kuhusu uwezo wa bandari la Mombasa kupakia mizigo directly kutoka kwa meli hadi kwenye treni bila kuiweka mizigo chini.
yaani umerudi pale pale [emoji1787][emoji1787]...

kwa hiyo hizo containers zote zinazopakuliwa kutoka kwenye meli kwa hapo mombasa port huwa zinapakuliwa na kuisha bila kushushwa ...?
 
yaani umerudi pale pale [emoji1787][emoji1787]...

kwa hiyo hizo containers zote zinazopakuliwa kutoka kwenye meli kwa hapo mombasa port huwa zinapakuliwa na kuisha bila kushushwa ...?
Containers zingine huwa zinashushwa hususan containers ambazo hazielekei upande wa Nairobi. Kwa mfano containers zinazoelekea Mombasa au Kwale au Kilifi au hata Tanzania lazima zishushwe na kuwekwa chini. Ila zinazokwenda Nairobi hazigusi chini, zinawekwa direct kwenye train na kuchana mbuga hadi Nairobi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha ujinga tony....

wewe huyo huyo uliyesema mombasa porn hauwezi kukuta containers,sasa ivi unakuja hapa kujidanganya kuwa Containers zote zinazokwenda nairobi huwa hazishushwi chini bali hupakuliwa direct kutoka kwenye meli....

Je wewe ndiye huwa unapangiliaga hizo containers kwamba za nairobi zinakaa juu za mombasa zikae,kilifi n.k zikae chini..?

wacha porojo kwanza asilimia kubwa ya contaoners zinaenda nairobi pili meli haiwezi kupoteza mda hapo kwa kungojea train,au truck ije na kupakua sababu kadri inavyokaa inakuwa inakatwa kato,,
 
 
Tony254 zile doubledeck zipo wapi na hizi container zinafanya nn? Si ulisema zinapakuliwa na kuwekwa kwenye wagons straight?
Your reasoning is very pathetic. Not all cargo that unloaded at the Port are destined towards Nairobi. Some remain in Mombasa so they don't need to be put on the train. The ones that are also meant to go to Tanzania don't have to be loaded on a train. So if you see those containers there you have to know that either they are not going to Nairobi or they are the empty ones that are always returned.
 
Hata SGR tumepigwa
Main Station kama soko la machinga ilala
Sub station kama police posts
Watu wamechelewesha mradi ili wapige riba ..
CAG anasema tumepigwa 35 billion kwa ucheleweshaji mradi kipande cha Dar-Moro peke yake.
Haya Mataga pigeni makofi kidogo.....
 
Una akili za ajabu sana, kwani design za station zimebadilika? mbona ziko hivyo hata kabla ujenzi haujaanza. Hayo ya riba ni ya ukaguzi wa CAG kwa FY 2019/20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…