Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kuna watu kwenye comments section wanaogopa kuwa uongozi mpya unaweza kutuletea treni za hovyo tofauti na jinsi JPM alitaka...
nimeanza kumskia Ndugai akidai kwann rollingstock zisiwe za watu binafsi sasa najiuliza kwann mpango wa JPM usiendelee halafu TRC i-float part of shares DSE kwa wanaotaka ku-invest? Sikuwa najua kama Ndugai anaweza kuwa kinyonga namna hii aisee! Huu mtindo wa kila mtu kununua mabehewa utaleta gharama na vurugu!
 
Amenishangaza na mimi pia, lakini anyway order ya treni ilishatoka kitambo na Korea wako busy kukamilisha, labda asubiri next order ili nayeye aweke bid ya kampuni yake...
 
Hawa jamaa watatutia aibu aisee wanaweza kutuletea mitreni ya ajabu kama Kenya daah🤔
 
Amenishangaza na mimi pia, lakini anyway order ya treni ilishatoka kitambo na Korea wako busy kukamilisha, labda asubiri next order ili nayeye aweke bid ya kampuni yake...
Kama JPM asingeingia madarakani hata hiyo reli yenyewe isingekuwa ya treni za umeme. Tungepata reli na treni za ovyo kama Kenya.

Chini ya JPM tumepata reli yenye specifications za juu kabisa.

Wajinga waliobaki sasa hivi si wa kuwaamini hata kidogo.
 
Yani sijawahi kumkubaligi yule jamaa hat siku moja. Siku ya kwanza nilivyo muona tu nikajua hakuna kitu pale .
 
haimaanishi kuwa containers zote hazishuki chini..

wacha mambo yako
Wacha ujinga mzee. Nimeshakuambia kuna containers ambazo lazima zishuke chini maana haziendi Nairobi. Pia kuna importers wengine wa Uganda ambao hawataki kutumia SGR na containers zao lazima zishuke chini ili watumie trucks. Nionyeshe ni wapi nilisema kwamba containers zote zinazowasili Mombasa zinawekwa kwenye SGR.
 
hata hizo zinazoenda nairobi ni lazima zishuke chini si zote zinazopakuliwa kutoka kwa meli direct nakuambia hivyo sababu na uhakika na hilo tuna ndugu,jamaa na marafiki huko Nairobi na niwafanya business siongei vitu kutoka kichwani

na usitake kupinga kauli ulizoandika
 
Mimi nimeamua kumpotezea maana kang'ang'ania sijui nani kamdanganya!
 


Ukizingatia usafiri wa cargo train ni 8 hours kutoka Mombasa hadi Nairobi, hii meli iliyowasili Mombasa saa tisa mchana na mizigo kufika Nairobi baada ya masaa 11, basi tueleze cargo ziliwekwa chini kwa masaa mangapi hapo Mombasa? Wewe tujuze maana wewe ndio unaelewa zaidi. Na masaa lazima yaingiane. Pakua hio meli na uhakikishe mizigo zimewasili Nairobi ndani ya masaa 11, halafu utueleze containers za Nairobi zitakaa kwenye container depot kwa masaa mangapi.
 
bado unaleta akili ndogo ulikuwepo wakati zinapakuliwa..?..

na jamaa yangu yupo huko anafanya biashara nairobi ana containers zake mombasa port almost week sasa ivi anafuatilia mzigo wake na meli ilishashusha mzigo mda mrefu na kutembea ..

nakushangaa wewe unayesema containers zote zinatoka direct kwenye meli na kupakuliwa direct kuelekea nairobi,,

acha ukichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…