Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Aawapii evidence? haiwezi kushinda Dar-Dodoma-Mwanza! au Dar-Mbeya! endelea kujidanganya!

Tanzam Highway (Dar-Mbeya-Nakonde serves Zambia, Malawi, southern DRC, Zimbabwe and further even Kenya trucks use the Highway!
Acha uongo hata Uganda iko na busiest highway kuwaliko.
 
Hamna SGR please, acha kuforce vitu.
 
That's a light rail you foolπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.
Mmoja wao kasema Kenya haina SGR, iko na upgraded MGR (Chanzo kikuu eti sababu haina stima 🀣 🀣 ), mwengine naye huyu amechukua picha ya Lagos light rail ameileta kwa mjadala wa heavy rail za SGR 🀣🀣
Ningetarajia wale walio ingia juzi juzi kwa hii mada ya SGR wawe hawafahamu lakini kuona mtu kama Geza Ulole ambae ndo ni 'expert' wao analeta picha za metro rail kwa mjadala wa SGR, yaani kutoka 2016 hadi sasa baada ya kua kwa hii mada mda wote huo hajajifunza lolote kabisa! Brain cells zakufa jameni, this discussion is too dumb!
 
Please don't rely on Geza Ulole for any serious depart, jamaa ako na akili na ya 5 yrs old kid.
 
Aawapii evidence? haiwezi kushinda Dar-Dodoma-Mwanza! au Dar-Mbeya! endelea kujidanganya!

Tanzam Highway (Dar-Mbeya-Nakonde serves Zambia, Malawi, southern DRC, Zimbabwe and further even Kenya trucks use the Highway!
Sasa unabisha nini mjombire, kazi yako kushinda hku na kusubiria comments za wakenya ili ujibu negative tu
 
Acha uongo hata Uganda iko na busiest highway kuwaliko.
Jamaa mpuuzi sana hyo, yani kazi yake ni kupinga tu bila ya hata facts..basi si walau awe akifanya research kwanza before aanze kupinga pinga vitu
 
Light train is ur foot dimwit!

From Lagos to Ibadan the distance is 131km n u call that a light train? Which light train travels that long distance?

if that's πŸ‘† a light train how about this πŸ‘‡

Light train is ur foot dimwit!

From Lagos to Ibadan the distance is 131km n u call that a light train? Which light train travels that long distance?

if that's πŸ‘† a light train how about this πŸ‘‡

View attachment 1761418
Acha umalaya we mjukuu wa Kinjeketile Ngwale. What you posted before is not is the video. Wewe uliweka picha ya Abuja light rail. Usidhani hapa jf Kila mtu ni mjinga kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…