The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Dah mkuu mbn hujaitendea haki sentensi yako, ni The longest railway line in Africa watajua wao km ni SGR, MGR au CGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lots 3 & 4 loading
dakika 3:28
from Dar to Mwanza ( to be the longest SGR railway in Africa
Ntakusamehe kwasababu umeanza kutujua juzi juzi huko Twitter. Sisi hulalamikia kila kitu huko, kama kungekua na expressway nyingine inajengwa nchi nyingine, kama ile ya Nairobi, Nina uhakika ingekua wakenya washaitafuta na kulinganisha na ya kwao na kutafuta dosari ambayo inapatikana kwetu ambayo haimo kule kwengine. Hio ndo nature ya wakenya - tunataka the best of the best iwe ni ya kwetu na tukiona dosari yoyote basi mawaziri wapo taabani na tunajua kule Twitter malalamishi yetu yatafikia serekali.Wakenya mbn washakubali kwamba Tanzania ni baba lao hapa EA sema nyinyi Wakenya wa Jf ndo mnajifanya hamtaki kukubali ila mkiwa Twitter malalamiko kibao.
Aongeze na neno electricDah mkuu mbn hujaitendea haki sentensi yako, ni The longest railway line in Africa watajua wao km ni SGR, MGR au CGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aongeze na neno electric
If Tz Sgr Revenue's + impact > kenyas Sgr = Disgrantled Kenyans; else if stop delusionsNDINDA nangoja povu weekend hii toka kwa disgruntled Kunyans!
If Tz Sgr Revenue's + impact > kenyas Sgr = Disgrantled Kenyans; else if stop delusions
Everlasting legacy, viva nwamba wa Africa, JPMMalawi deputy Speaker's visit to Africa's longest electrical SGR Morogoro-Makutupora