Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Huu uzi ufungwe tu maana hakuna haja.
Kenya sgr imekua ikifanya kazi tangu 2017 na imebeba tani milioni kadhaa na abiria millioni kadhaa.
On the other hand, sgr ya tanzania ilidedi na magufooli na haionyeshi dalili za kuisha. 0tonnes carried 0passengers carried. Ni hasara tu.
 
Sisi hatujengi Sgr kama yenu yetu ni tofauti.sisi tunajenga ya kisasa zaidi Kwa hiyo itachukua muda kidogo.hatujengi reli ya zamani kama Kenya.
 
POURT is cutting the ribbon to officially launch the construction of electrical SGR LOT 5 for Mwanza-Isaka

E32V6y5WUAMGEJF

E32V6yyWUAIP7uH

E32V6yyXEAM6lLd
 
Huu uzi ufungwe tu maana hakuna haja.
Kenya sgr imekua ikifanya kazi tangu 2017 na imebeba tani milioni kadhaa na abiria millioni kadhaa.
On the other hand, sgr ya tanzania ilidedi na magufooli na haionyeshi dalili za kuisha. 0tonnes carried 0passengers carried. Ni hasara tu.
Sasa mbn hazifanani kabisa, nyinyi yenu ni upgraded MGR cc yetu ni electrical SGR, mbingu na ardhi. Hatuwezi kukaa hapa kuongelea SGR Tz na Kenya ni upumbavu.
 
Tanzania hakuna electrical sgr au mfumo wowote wa sgr.
The only country yenye sgr EAC ni Kenya pekee
 
Huu uzi ufungwe tu maana hakuna haja.
Kenya sgr imekua ikifanya kazi tangu 2017 na imebeba tani milioni kadhaa na abiria millioni kadhaa.
On the other hand, sgr ya tanzania ilidedi na magufooli na haionyeshi dalili za kuisha. 0tonnes carried 0passengers carried. Ni hasara tu.
Wivu utakuua wewe nyang'au.
 
Tanzania hakuna electrical sgr au mfumo wowote wa sgr.
The only country yenye sgr EAC ni Kenya pekee
Iko wapi hiyo SGR ya Kenya, hebu weka hapa tuione, au ndio ile jointed SGR a.k.a kwichi kwichi SGR, yn upo kwenye treni hata soda haitulii mezani, ndio maana huku tunaiita MGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania hakuna electrical sgr au mfumo wowote wa sgr.
The only country yenye sgr EAC ni Kenya pekee

kweny masuala ya power capacity, mnaiunganisha ethiopia kuwa ndo yenye umeme mwingi in EAC ili Tanzania isiwe wa kwanza in list, ila kwenye suala la SGR mnaisahau ethiopia na kusema kenya pekee ndo ina SGR in EAC.. mnajiona mlivyo na wivu??
 
Back
Top Bottom