Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

EAC Kenya pekee ndo inatumia sgr
Because Kenya is always ahead in everything. I wish Kenya wangekua jirani na nchi za maana kama South Afrika
Tunaongelea electrical SGR na co diesel SGR mana haina tofauti na MGR, ona [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
IMG_20210615_163638_474.jpg
IMG_20210615_163607_214.jpg
IMG_20210615_163631_973.jpg
 
Hihi, over 5 years in this thread and you don't know. The design carrying capacity of a railway is not determined by axle load. It's determined by operation mode.i.e things to do with train sets, scheduling, frequencies, number of tracks, loop lines etc it's all about striking a perfect balance for route optimisation.

It's the same thing that happens in the airline industry. Unaweza ukawa na Airbus yenye uwezo wa kubeba abiria 400 kwa mpigo ukafikiria utashinda airline nyingine ambayo inatumia ndege tatu zenye uwezo wa kubeba 150 each. Mwisho wa siku unajikuta umepiga trip chache na umebeba kama abiria 1,000 lakini mwenzako wa ndege ndogo alipiga trip nyingi na mwisho wa siku amebeba abiria 1,200. Kwahivyo kila siku anakupiga gap ndogo, mwisho wa mwaka unakuta amekushinda kwa ma milioni.
Peleka ukunya kwenu mpumbavu kama wewe huwezi nifunza mimi anything about axle load! The question was simple if the axle that is to operate on SGR-TZ is to have the capacity to carry the load of up to 35 tons and the speed of our SGR is 120km/h while Kenya's is 80km/h with an axle that can carry up to 25 tons! It will take so much efforts to teach u kuacha kwenda **** vichakani and be smart to understand ur SGR can never match ours!
 
Atafute speech ya Kadogosa jana kule mwanza.

Halafu mbona unapenda kujibishana na hawa wapumbaf wanaopenda kurudia rudia kitu kimoja kila siku?
 
Atafute speech ya Kadogosa jana kule mwanza.

Halafu mbona unapenda kujibishana na hawa wapumbaf wanaopenda kurudia rudia kitu kimoja kila siku?
Wanaboa ndo maana wanawekewa mabango ila bado wanang'ang'ania!
 
Kweli kabisa. Kenya ndiyo pekee wenye SGR. Tanzania watagoja sana kuwa na SGR.
Watangoja sana. Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan yani EAC yote except Kenya hakuna sgr.
Wakati huo Kenya sgr imeshabeba abiria millioni kadhaa na mizigo tani million kadhaa tangua 2017.
 
they were sarcastic words meffi wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naiona Mwanza inakwenda kuwa Transport Hub in Great Lakes region. Modern SGR trains, Modern Water Transport Facilities, Modern Passenger and Cargo Terminal Airport. Sky is the limit.
Modern cable stayed bridge pia
 
Peleka ukunya kwenu mpumbavu kama wewe huwezi nifunza mimi anything about axle load! The question was simple if the axle that is to operate on SGR-TZ is to have the capacity to carry the load of up to 35 tons and the speed of our SGR is 120km/h while Kenya's is 80km/h with an axle that can carry up to 25 tons! It will take so much efforts to teach u kuacha kwenda **** vichakani and be smart to understand ur SGR can never match ours!
Kama Kawa unajipata completely clueless on technical terms.

Mawaziri wenu sio wajinga wakisema 18m tones p.a.. wanajua hio axle load ni ngapi. Hizi vitu hupigwa hesabu hata kabla reli ijengwe. The only time axle load makes a difference ni kama unataka kubeba mizigo mzito zaidi kwa kila wagon... As it turns out mizigo mingi saa Haina haja ya uzito huo.. kwa mfano, tank za mafuta, simiti, hata vifaru vinaweza kubebwa na reli za kawaida, infact MGR yetu inaweza kubeba hii mizigo bila shida... Vitu vinavyohitaji bigger axle load ni kama raw unprocessed mineral deposits ambazo unatakiwa kupiga trip chache zenye mizigo mingi kwa mpigo. Lakini the rest of cargo hazihitaji axle load kubwa....

Alafu hio axle ya 35t vs 25t hii sio maximum weight on a wagon... Hii ni maximum weight per axle .. Yani wagon ikiwa na tairi nne, basi kila tairi inaweza kuhimili 25t kumaanisha total weight on the single wagon inaweza ikawa 25t * 4 = 100 tones... In order to give you a clue, the maximum weight of a 40ft container is 29tones... So if you have double stack wagon it would be 29*2= 58 tonnes if you also add the weight of the wagon inakuja kama 70tonnes total weight on the rail track ... There are no triple stacked wagons in the world... So you see, you don't need 35tonne axle load to carry double stacked containers, oil, cement, processed steel..etc kwahivyo hii reli yenu mmeifanya nzito kwa ajili ya madini ya DRC... Yani your rails commercial viability is entirely dependent on DRC never processing it's mineral locally so that they export heavy unprocessed mineral deposits...

_____
Hapa kumbuka hatujagusa mambo ya train sets, au loop lines..etc things that actually affect the carrying capacity of a rail line...
 
Kama Kawa unajipata completely clueless on technical terms.

Mawaziri wenu sio wajinga wakisema 18m tones p.a.. wanajua hio axle load ni ngapi. Hizi vitu hupigwa hesabu hata kabla reli ijengwe. The only time axle load makes a difference ni kama unataka kubeba mizigo mzito zaidi kwa kila wagon... As it turns out mizigo mingi saa Haina haja ya uzito huo.. kwa mfano, tank za mafuta, simiti, hata vifaru vinaweza kubebwa na reli za kawaida, infact MGR yetu inaweza kubeba hii mizigo bila shida... Vitu vinavyohitaji bigger axle load ni kama raw unprocessed mineral deposits ambazo unatakiwa kupiga trip chache zenye mizigo mingi kwa mpigo. Lakini the rest of cargo hazihitaji axle load kubwa....

Alafu hio axle ya 35t vs 25t hii sio maximum weight on a wagon... Hii ni maximum weight per axle .. Yani wagon ikiwa na tairi nne, basi kila tairi inaweza kuhimili 25t kumaanisha total weight on the single wagon inaweza ikawa 25t * 4 = 100 tones... In order to give you a clue, the maximum weight of a 40ft container is 29tones... So if you have double stack wagon it would be 29*2= 58 tonnes of you also add the weight of the wagon inakuja kama 70tonnes total weight on the rail track ... There are no triple stacked wagons in the world... So you see, you don't need 35tonne axle load to carry double stacked containers, oil, cement, processed steel..etc kwahivyo hii reli yenu mmeifanya nzito kwa ajili ya madini ya DRC... Yani your tail's commercial viability is entirely dependent on DRC never processing it's mineral locally so that they export heavy unprocessed mineral deposits...

_____
Hapa kumbuka hatujagusa mambo ya train sets, au loop lines..etc things that actually affect the carrying capacity of a rail line...
tairi nne na inasema "axle load" Wewe ni mpumbavu wa wapi jua tofauti ya axle and tairi kwanza!
 
tairi nne na inasema "axle load" Wewe ni mpumbavu wa wapi jua tofauti ya axle and tairi kwanza!
Nakurahisishia wewe mwehu alafu unajifanya mjanja 🤣🤣. Kuna tairi kama nane au sita kwa wagon za kawaida, lakini zinategemea kwa axle nne.. lakini ili kukurahisishia wewe mr.clueless nikasimplify 4tires 4 axle ili usianzishe story nyingi za upuzi ambao hujui.
 
Back
Top Bottom