Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

gharama kwani unafikiri electrical SGR Tanzania ni reli ya mchina ya kulipa mkopo kama diesel SGR Kunyaland?
Hehehehe!!jamani mbona povu sasa[emoji1787][emoji1787]
Yani hapa lazima madeni ya siri yalipwe kw nguvu zote
 
Mmebakiwa na takwimu kwa ground ni sifuri,bure kbs.
Kwa ground ni sifuri gani hebu jieleze, hio ya kwenu ndo sufuri imekua 92% done kwa miezi sita sasa 🤣🤣 mi hata nafikiri March nilisoma taarifa ambayo ilisema reli ya Tz iko 95% complete, juzi nilishtuka kusomea eti iko 92% hio 3% ilienda wapi???
 
Hii model ni huko Kunyaland! TPA Iswana model tofauti na cargo ya kuja coastal toka hinterlands si lazima iwe tu ya overseas! Kuna nyingine destination Pwani, Morogoro na hata Dar yenyewe!
Kila reli lazima iwe inabeba to and from, that's not new....
The only new thing here is that you have a port then afew km away, a dry port then a marshaling yard then another dry port.... Mzigo wa import itakua unasimama mara nyingi sana kabla ufike bara... Nitakuletea receipt ya SGR uone vile hizo gharama za kupakia na kupakua container ndo inapandisha gharama, the actual transportation of the container is actually very minimal lakini hivyo vi service charges kama marshaling fee, loading and unloading fee, storage fee ndo inapandisha garama mno... That's why SGR Kenya eventually came up with solution that when a ship arives mizigo ya ksenda na SGR inapakiwa direct bila kungoja Ngoja, Yani haikai sana hapo pwani...
 
Vitu vingine huwa unaongea kwa kubahatisha sn, km kitu hujui kiache.
Posta mpka Ruvu ni mia moja na kitu, na mizigo kingi ya tz ni ya dar labda uje na data kupinga..
Sasa nakuuliza hyo mizigo ya dara nayo ikachukuliwe Na Ruvu..
Nawambieni hivi, hapo mmefeli na km mtalifanikisha kweli basi serekali itakua inatumia nguvu kupata hela ya kurudisha madeni
 
ujuaji mwing usio na maana...
currently, mizigo yote nje ya Dar inapelekwa dry port ya kwala kwa MGR... process zote zilizotakiwa kufanyika Dar port zinafanyika dry port..
Na mizigo ya dar malory yanaichukulia na wapi
 
Ameona huwa tunasema mizigo mingi ya Mombasa port ni ya Nairobi naye amekuja na yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vitu vingine huwa unaongea kwa kubahatisha sn, km kitu hujui kiache.

wanajikuta much know.. kungekuwa na namna ya kutuma voice notes humu ninfewatumia

kwenye chatting




kuna sehem kwenye voice note kasema, malori mengi saiz hayafiki Dar kuchukua mizigo ambayo si ya Dar, yanaenda kwala dry.. akasema ndo mana saiz Dar hakuna malory mengi ila ukienda huko kwala kuelekea vigwaza (inapokutana na morogoro rd) utakuta malory kibao.. na muda huu kampuni ya estim (inayotengeneza kibamba highway) ndo inajenga barabara kutoka kwala kwenda vigwaza..

lkn much knows kutoka kenya ambae hajawah kufika hata mpkan mwa Tanzania na kenya atakuambia mizigo yote ni ya Dar

- kuongezea akasema malori ambayo mizigo yake ni nje ya Dar na ambayo yanafika Dar port ni malori ya mafuta tu.
 
TRC wanaoperate block trains kitambo sana masuala ya shunting yapo kwa kiasi kidogo sana.
Kwikwikwi acha mchezo! 97% ya mizigo Tz inasafirishwa na barabara..... Only 3% inapitia reli, alafu unakuja hapa eti Tz huaga ina operate block trains 🤣🤣 the only block trains you operate is mizigo ya WFP ambayo ni chakula kinachokusanywa na kusafirishwa pamoja kwa mpigo kupelekea Uganda, hii so mizigo ya kutegemea manake WFP wanafanya hivi maybe once every 3 or 6 months. Mizigo miengine ya kila siku ni mizigo ya wanabiashara tofauti ambayo inawasili kutoka meli tofauti tofauti wakati tofauti kwahivyo lazima shunting ifanywe wakati treni inatafuta hayo makasha. Kama hamngekua mnahitaji hio huduma hakungejengwa marshaling yard kubwa hapo Ruvu na pia hamngepoteza mda kuagizia shunting locomotives za diesel zitakazo tumika kwa SGR yenu!
 
Kipande cha Makutopora-Tabora,mchakato wake ukoje,anyone with news please?
 
Unajitekenya halafu utacheka mwenyewe. Habari ndio hiyo block trains to Rwanda Burundi uganda and congo. Otherwise kwa akili yako ilivyokuwa finyu Mafuta to Uganda by TRC yalikuwa shunted au sio?
 
ujuaji mwing usio na maana...
currently, mizigo yote nje ya Dar inapelekwa dry port ya kwala kwa MGR... process zote zilizotakiwa kufanyika Dar port zinafanyika dry port..
Si ndo hivyo ndo nawahoji navyo, kwahivyo mzigo unashukishwa Dar port kutoka kwa meli....
Unaondolewa pale uliposhukishwa na kusafirishwa na tractor hadi pale reli ya MGR ilipo kwa port na kupakiwa juu ya treni (garama hizo )

Treni ya MGR inapeleka mizigo yote kwa dry port Kwala bila kujua wapi ni wapi , (Yani huko Kwala ndo inspection, tax, etc zitafanyika. Ikifika Kwala inashukishwa alafu baadae inapelekwa kwa line ya SGR na kupakiwa (garama Nyengine ya kushukishwa na kupakia )

Alafu ikitoka dry port, bado Kuna Ruvu marshaling yard ambapo bado ndo treni inapangwa mizigo yake kulingana na kule inakoenda!!!!


Hapo Kuna masaa kadhaa mnapoteza alafu pia hio process mzigo unapitia ni unnecessary... Linganisha na MGR yenu ambayo inaingia hadi port, mzigo unaposhukishwa kwa meli, unachukuliwa na kupelekwa hadi pale reli ilipo ndani ya port na kupakiwa juu ya reli.. Very simple, very quick, no delays. Treni ikitoka port next stop is the destination huko bara.
 
Unajitekenya halafu utacheka mwenyewe. Habari ndio hiyo block trains to Rwanda Burundi uganda and congo. Otherwise kwa akili yako ilivyokuwa finyu Mafuta to Uganda by TRC yalikuwa shunted au sio?
Sasa mafuta yamegeuka na kuwa makontena sio 🤒🤒🤒 we ushawahi kuona mafuta (dangerous goods) kwa marshaling yard? unataka kuleta hatari wewe!!!

For you to be able to do block trains na makontena ya DRC, Uganda,Rwanda, Burundi, hamuezi piga dili na Kila mwanabiashara ndo mfanye Bock train manake mizigo haiwasili wakati sawa.. ni lazima mpige dili na kampuni za meli ili mizigo yao yote wanayoshukisha kwenda bara iwe mnaisafirisha nyinyi kwa mpigo. Sasa niambie ni kampuni gani za meli mmepiga dili nazo kufanya block train na mizigo yao?
 
Makosa sioyetu, nyi wenyewe ndo mkisema Kwala Dry port na Ruvu marshaling Yard zipo sehemu tofauti... Manake hio ndo ilikua issue yangu kubwa , Niko na issues zengine lakini hio ndo ilikua kubwa nilikua nashangaa how comes dry port alafu marshaling yard iwe sehemu nyengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…