wanajikuta much know.. kungekuwa na namna ya kutuma voice notes humu ninfewatumia
kwenye chatting
View attachment 1862576
View attachment 1862577
View attachment 1862578
kuna sehem kwenye voice note kasema, malori mengi saiz hayafiki Dar kuchukua mizigo ambayo si ya Dar, yanaenda kwala dry.. akasema ndo mana saiz Dar hakuna malory mengi ila ukienda huko kwala kuelekea vigwaza (inapokutana na morogoro rd) utakuta malory kibao.. na muda huu kampuni ya estim (inayotengeneza kibamba highway) ndo inajenga barabara kutoka kwala kwenda vigwaza..
lkn much knows kutoka kenya ambae hajawah kufika hata mpkan mwa Tanzania na kenya atakuambia mizigo yote ni ya Dar
- kuongezea akasema malori ambayo mizigo yake ni nje ya Dar na ambayo yanafika Dar port ni malori ya mafuta tu.