Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Usichanganye madesa ndege ilizuiliwa SA na Canada hakuna mtu au nchi yoyote yenye ubavu wakutupangia au kuzuia mali ya TZ ndani ya ardhi ya Tz.
 
nimeangalia ile ya moro-makutupora.. kule kwenye tunnels na milima kuna views nzuri sana .. nimeona wakifanya uchorongaji.. nasubir imalizike reli nzima nione views yake.. hata sasa pazur sana ase
Wakulungwa toka Kunyaland watakuja kupiga picha!
 
Uzi umekimbiwa huu na walengwa baada ya sindano kuzidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…