Contract inasema walikua wata operate SGR kwa miaka kumi ndo watupatie [SGR loan inafaa kulipwa yote baada ya miaka 15] sisi sahii tumegeuza tunasema tunataka watupatie control yote ya SGR by 2022 (Yani miaka mitano baadae).... Wao wame counter hio proposal kwa kusema basi tuwalipe deni ndo watupatie sahii kinyume na contract ya awali.... Hii ni biashara na Kila mtu ana haki yake anaruhusiwa ku negotiate. Usijidai hapa na nyinyi mlipokonywa ndege kule Canada kwa kujifanya wajeuri hamtaki ku negotiate breach of contract which is protected by international law.