Angalia vzr utagundua kwamba hizo ni layers.Under normal circumstances mimi hua na ingnore vitu zengine, lakini vile we hupenda kuingilia kila post ya mkenya....
Is that a crooked wheel I see? Hizi vitu zinakaa 2nd hand si mpya
View attachment 1906113
View attachment 1906119
jamaa alivyorukia utadhani kaona mabehewa mitumba ya Nairobi Commuter rail!Angalia vzr utagundua kwamba hizo ni layers.View attachment 1906166
Hizi si treni za Kenya Railways bali ni za Magadi Soda company na ni privately owned!This rail is almost never talked about yet it has never stopped operating...
This is 100 km of rail from Lake.Magadi to Nairobi - Its used to transport Magadi Soda Ash from the lake and eventually to Mombasa
Kuna behewa moja la abiria liliongezwa kwa treni ya mizigo iwe inaweza kubeba watu kati ya Magadi-Nairobi
Reli hio ya MGR ilifanyiwa ukarabati na sehemu zilizokua zimeharibika kung'olewa, hadi sehemu zengine zimewekwa concrete sleepers
View attachment 1906158
Kuna watalii kadhaa ambao hutumia hii treni kwenda na kurudi - kuzuru Lake Magadi amayo iko na vivutio kadhaa
View attachment 1906137
That is a wheel protector it prevents damage during loading and transportation so that the wheel surfaces remain smoothUnder normal circumstances mimi hua na ingnore vitu zengine, lakini vile we hupenda kuingilia kila post ya mkenya....
Is that a crooked wheel I see? Hizi vitu zinakaa 2nd hand si mpya
View attachment 1906113
View attachment 1906119
Naivasha - Kisumu MGR refurb
Kisumu Port
Hili tuta litakuja kuwa tested mvua ikinyesha!Wazee wa shoddy works, cheki haya matofali [emoji3][emoji3]
Utadhani wanafunzi wa primary wamepewa adhabu View attachment 1907093
#chatu #python akitoka pangoni sijui itakuaje
Itakuwa hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]#chatu #python akitoka pangoni sijui itakuaje
Atatoka na spidi kama zote haijawahi tokea east africa tangu dunia iumbwe [emoji23][emoji23][emoji23]#chatu #python akitoka pangoni sijui itakuaje
Reli yenu ya SGR Haina tofali fungal bakuliWazee wa shoddy works, cheki haya matofali [emoji3][emoji3]
Utadhani wanafunzi wa primary wamepewa adhabu View attachment 1907093
Reli ni ya KRC, treni ni ya magadi ... This is the way to go... Reli ni kama vile barabara au runway ya airport.... Kuachia reli nzima iwe inatumika na kampuni moja ya serekali ni ku waste.... Na ndio mannana hii laini ya Magadi haijawahi kufa hata baada ya karibu reli zote za MGR kufa (kabla zianze kufufuliwa tena miaka miwili iliopita)Hizi si treni za Kenya Railways bali ni za Magadi Soda company na ni privately owned!
Reli ni ya KRC, treni ni ya magadi ... This is the way to go... Reli ni kama vile barabara au runway ya airport.... Kuachia reli nzima iwe inatumika na kampuni moja ya serekali ni ku waste.... Na ndio mannana hii laini ya Magadi haijawahi kufa hata baada ya karibu reli zote za MGR kufa (kabla zianze kufufuliwa tena miaka miwili iliopita)
I hope one day in future watakubali kampuni ya kibinafsi kununua passenger train na waiendeshe kwa SGR (Bora wafwatilie schedule watakayopewa) hii italeta competition ambayo itaboresha usafiri...