Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hizo Mechanically Stabilized Earth (MSE) retaining walls zipo pale Tazara kwa Bakhressa.
Pia jinsi ile structure ilivyokaa naona hata baada ya underpass ya Bakhresa kutawekwa MSE retaining wall!

Screenshot 2021-08-21 121210.png



Screenshot 2021-08-21 115242.png



Screenshot 2021-08-21 121117.png
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji36]very predictable[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] thats why your fool....
Kama huna hoja jifundishe kupita kimya kimya si kutoa comment ambazo hazieleweki. Ama unafikiria tuko na uwezo wpa kusoma mawazo yako bila we kuyaandika sio?
 
Mitaa ya Migomigo Mikumi ndio original Lango la Jiji, yaani enzi hizo, ukifika maeneo yale ndio kama unaingia rasmi jijini 🙂 ..
Lango la Jiji linaenda kuwa Mloganzila....pale kwenye interchange!! subiri Highway ianze kutumika rasmi..😀😀
 
Kama megundua saivi nguzo zimekuwa ndefuu zaidi
lazma ziwe ndefu for the stability of the whole structure maana hizo nguzo zinaendana na urefu wa daraja na zitapachikwa cables zitakazoshikilia steel structure ambayo itabeba concrete na kupitisha treni!
 
Back
Top Bottom