Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Update: electrical SGR Dar-Moro

MY TAKE
Pugu to Kilosa train services loading... read for operation from end of September!

Juzi katika mihangaiko yangu nikapita pale majumba sita kuelekea Segerea nikakuta wako bize kusimamisha nguzo za umeme kwa ajili ya SGR, kuna engineer mmoja nikapiga nae stori akaniambia kuna provision ya madaraja matatu ya magari!!!Njia panda Segerea, Airport na Vingunguti ambayo Hayati aliyatoa kwny mradi ila mama ameamua kuyarudisha tena kwny awamu yake.
 
Maneno ya siasa tu mkuu, atazitoaje wkt hizo ni overpass na ni lazima ziwepo? Wanataka kusema kwamba hayati hakujua kwamba hapo inapita treni ya umeme karibu na makazi ya watu na pia kuna road ime cross? Siasa hiyo mkuu.
 
Ati kasema anatoa kwa nyanyake? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji2297] [emoji2297] [emoji2297] [emoji2297] [emoji2369] [emoji2369] [emoji2369] [emoji2369]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Juzi katika mihangaiko yangu nikapita pale majumba sita kuelekea Segerea nikakuta wako bize kusimamisha nguzo za umeme kwa ajili ya SGR, kuna engineer mmoja nikapiga nae stori akaniambia kuna provision ya madaraja matatu ya magari!!!Njia panda Segerea, Airport na Vingunguti ambayo Hayati aliyatoa kwny mradi ila mama ameamua kuyarudisha tena kwny awamu yake.
Haingi akilini....
 
sijakuelewa madaraja matatu as overpass/underpass across the SGR track au flyovers?
 
Ila hizi fidia zinachukua muda mrefu mpk kukamilika sijui kwa nini ila uthamini nadhani tayari maana zilishapewa namba nyumba kwa nyumba.
 
Tuta almost limekamilika kwa layers zote jana walikuwa wanafunga catenary poles kuelekea mjini,ila mataaluma yalikuwa bado mwezi ujao ukiisha itakuwa done itabakia sehemu hizi za kucross tu I think!!!
 
ohk sasa mkulu aliondoa halafu fedha zake zikaenda wapi? Na wakazi wangepitaje? Jiwe bwana...!
Mi nimechukua maneno ya mshkaji 😂😂😂 inaweza ikawa kweli au ndo siasa sasa sijui ingekuwaje wangepiga taa na gates kama mbele kwny baadhi ya crossings.Ila maeneo ya uthamini nimakubwa makubwa nyumba nyingi za uswahilini zitapigwa chini inavyoonekana entrance ya airport na njia panda Segerea yatapata look mpya plus BRT,nawaza tena madaraja kwa ajili ya watu sijui itakuwaje!!!Au watapiga magari na watu pamoja!!!!.
 
Maneno ya siasa tu mkuu, atazitoaje wkt hizo ni overpass na ni lazima ziwepo? Wanataka kusema kwamba hayati hakujua kwamba hapo inapita treni ya umeme karibu na makazi ya watu na pia kuna road ime cross? Siasa hiyo mkuu.
Kweli wajenge daraja la 2.5km ,Pia asisitize kuwepo na fence mpka maporini kule alafu azuie vidaraja vitatu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna haja ya kujiongeza..sio kulishwa kama wehu
 
Asante kwa kuliweka sawa mana nilikuwa ktk loading mode kwa muda, yn pale kuna underpass na co overpass!?
Yaani kama barabara inapita juu kutakuwa na overpass! the word overpass or underpass has to be in reference to the SGR track! Ila mi naona kama kutakuwa na underpass maana kabla ya Pugu kuna hizi MSE retaining walls! Labda overpass mitaa ya Vingunguti!
 
Hizo Mechanically Stabilized Earth (MSE) retaining walls zipo pale Tazara kwa Bakhressa.
 
hata baada ya Bakhresa angalia video karibu na Pugu mitaa ya Banana!

Screenshot 2021-08-21 114536.png
 
Back
Top Bottom