Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hehehe ukweli ni sumu kwenu[emoji23][emoji23][emoji1787]. Here your minister is confessing that only 2.7M customers are connected to electricity [emoji23][emoji23][emoji1787]

View attachment 1921365
Ndio mana nakuita zuzu ...sasa hapo huoni minister anazungumzia kuunganishwa na gred ya taifa? Tz bado kuna vyanzo vingi vya umem bado havijaunganishwa na grid ya taifa ata umem wa ges umeunganishwa juzi juzi tu....iyo list ni wale tu wanao tumia umem ulio unganishwa na grid ya taifa....ata ukitumia akil ya kuvukia barabara tu , Dar pekeyake ina wakazi around 6 millions
 
Kuwaelewesha wakenya ni KAZI nguvu asilimia 85 ya Tanzania imeunganishwa na umeme haiwezekani watejq wawe milioni 2.7 pekee
 
There are about 12000 villages in Tanzania only less than 2000 villages are not connected to electricity so it is not true that Tanzania has only 2.7 m customers connected to electricity.
Kwanza ward moja moja tu uwa na nyumba ngapi? Yaani Dar peke tanesco wamefunga mita ngapi? Hii 2.7m inaonesha kuna watu wanapenda kupisha tu bila sababu ya msingi
 
What I have realized with Tanzanians is that they don't know the difference between electricity access and electricity connectivity [emoji23][emoji23].
True..hawajui km sisi mambo na access tulipita kitambo sana places nyingi
 
Wakenya hamna akili iweje asilimia 85 ya Tanzania ina umeme alafu wateja wawe milioni 2.7
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo inaonyeshe ni jinsi gani nchi ilivyokua nyuma ndio manake mpo ldc
 
Vijiji sio watu mzee baba, nyaya za umeme hupitia hata kwa main road lkn bado hzo sehemu umeme usikuwepo kw wananchi
Tanzania bado vijiji 2000 Kati ya elfu 10 na 2 wateja Kwa vyovyote vile wako wengi ssna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…