Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Ndio mana nakuita zuzu ...sasa hapo huoni minister anazungumzia kuunganishwa na gred ya taifa? Tz bado kuna vyanzo vingi vya umem bado havijaunganishwa na grid ya taifa ata umem wa ges umeunganishwa juzi juzi tu....iyo list ni wale tu wanao tumia umem ulio unganishwa na grid ya taifa....ata ukitumia akil ya kuvukia barabara tu , Dar pekeyake ina wakazi around 6 millionsHehehe ukweli ni sumu kwenu[emoji23][emoji23][emoji1787]. Here your minister is confessing that only 2.7M customers are connected to electricity [emoji23][emoji23][emoji1787]
View attachment 1921365