Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #12,461
hizo container ni nusu kwavile reli yenu haina uwezo wa kubeba axle load kubwa!Kontena spesheli za kusafirisha clinker ambayo ni kiungo muhimu kwa utengezaji wa simiti kiwandani.
Kabisaa! manake heating limestone and clay to 2,000 degrees centigrade results in the heaviest material on earth!hizo container ni nusu kwavile reli yenu haina uwezo wa kubeba axle load kubwa!
what made Kunyaland not afford this kind of containers?Kabisaa! manake heating limestone and clay to 2,000 degrees centigrade results in the heaviest material on earth!
Kontena ni mali ya importer, Behewa ndo ni mali ya KRC.. Importer alikua anatumia malori kusafirisha clinker, hii ndo mara ya kwanza inasafirishwa na SGR, so its safe to assume kontena hizi ndo hizihizo zilizokua zikipakiwa kwa malori b4, labda in future wakati kutakua na branch ya SGR ambayo inaenda hadi ndani ya kiwanda cha kutengeneza simiti ndo kutakua na special dedicated wagons za kufanya hio kazi.what made Kunyaland not afford this kind of containers?
Waangalie tu hiyo single tender i-reflect kwenye cost za ujenzi na ningependa nijue watapewa ngapi! IMHO bidding was the way forward regardless of time needed for mobilization! Kuondolewa kwa Chamuhiro kuna harufu ya lobbying forces zilizomshinda maana amekuwa polepole sana kwenye kuamua! Hawa Yapi Merkezi wali-bid kwa gharama kubwa sana Mwanza-Isaka! Na hata hizi bidding zao za kujenga LOT3 294 km electrical SGR Makutupora-Tabora with only 74 km of siding na LOT4 130 km electrical SGR Tabora-Isaka with only 35km of siding hazijakaa sawa ikumbukwe the land is flat towards lake Victoria from Makutupora, CCECC wame-offer longer passing loop for Mwanza-Isaka electrical SGR. Sidhani kama ni wa kuwapa upendeleo wa kupewa tender bila ku-compete labda kama wata-offer kujenga the 2 lots for a total price isiyozidi $2.5 bln na with a healthy package i.e. longer passing loops (lot3 over 100km and lot4 over 50 km) and more amenities like more SGR Terminals and a marshalling yard! It's a mistake kufanya hivyo halafu kuwa over-charged! lazma washindanishwe! 🙏[emoji102] single source tender to Yapi Merkez for Lot 3&4
View attachment 1936722
View attachment 1936723
View attachment 1936724
View attachment 1936725
View attachment 1936726
tangu lini mmeanza huo utaratibu? unaweza kuleta evidence?Kontena ni mali ya importer, Behewa ndo ni mali ya KRC.. Importer alikua anatumia malori kusafirisha clinker, hii ndo mara ya kwanza inasafirishwa na SGR, so its safe to assume kontena hizi ndo hizihizo zilizokua zikipakiwa kwa malori b4, labda in future wakati kutakua na branch ya SGR ambayo inaenda hadi ndani ya kiwanda cha kutengeneza simiti ndo kutakua na special dedicated wagons za kufanya hio kazi.
Utaratibu upi huo nimeongelea vitu viwili, containers belonging to importers and SGR branch line direct to factoriestangu lini mmeanza huo utaratibu? unaweza kuleta evidence?
hiyo part ya containers belonging to importers! Na pia ujenzi wa direct line to factories!Utaratibu upi huo nimeongelea vitu viwili, containers belonging to importers and SGR branch line direct to factories
CCECC walibid kwa gharama ndogo nje ya uhalisia Mwanza-Isaka. Sasa hivi CCECC wameanza kulalamika na hawataki kutumia standards za juu kama za lot I na lot II.Waangalie tu hiyo single tender i-reflect kwenye cost za ujenzi na ningependa nijue watapewa ngapi! IMHO bidding was the way forward regardless of time needed for mobilization! Kuondolewa kwa Chamuhiro kuna harufu ya lobbying forces zilizomshinda maana amekuwa polepole sana kwenye kuamua! Hawa Yapi Merkezi wali-bid kwa gharama kubwa sana Mwanza-Isaka! Na hata hizi bidding zao za kujenga LOT3 294 km electrical SGR Makutupora-Tabora with only 74 km of siding na LOT4 130 km electrical SGR Tabora-Isaka with only 35km of siding hazijakaa sawa ikumbukwe the land is flat towards lake Victoria from Makutupora, CCECC wame-offer longer passing loop for Mwanza-Isaka electrical SGR. Sidhani kama ni wa kuwapa upendeleo wa kupewa tender bila ku-compete labda kama wata-offer kujenga the 2 lots for a total price isiyozidi $2.5 bln na with a healthy package i.e. longer passing loops (lot3 over 100km and lot4 over 50 km) and more amenities like more SGR Terminals and a marshalling yard! It's a mistake kufanya hivyo halafu kuwa over-charged! lazma washindanishwe! 🙏
ohk sasa serikali isiruhusu CCECC ituamulie nini cha kufanya! Mikataba lazma ifuatwe! Unaweza kutuletea evidence ya ulichosema?CCECC walibid kwa gharama ndogo nje ya uhalisia Mwanza-Isaka. Sasa hivi CCECC wameanza kulalamika na hawataki kutumia standards za juu kama za lot I na lot II.
Wanataka kutumia signaling standard ya China badala ya Europe kama wanayotumia Yapi Merkezi.
Wakati lot I na II wametumia electrical systems high quality za ABB, CCECC wanataka kutumia systems low quality za China.
So far, CCECC are disappointing.