Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani waanza kujua leo kwamba Container ni mali ya importer? Na kama Importer hakununua contena, basi hua inaregeshwa kama empty container hadi kule ilikotoka.hiyo part ya containers belonging to importers! Na pia ujenzi wa direct line to factories!
Alafu bado kuna ESIA report ambayo inapropose kujenga SGR branches to dedicated Fertilizer, clinker and coal and container terminals in Athi River where there are alot of cement factories and warehouses for various industrieshiyo part ya containers belonging to importers! Na pia ujenzi wa direct line to factories!
wacha upumbavu MGR Tanzania inasafirisha cargo za namna hiyo!Alafu bado kuna ESIA report ambayo inapropose kujenga SGR branches to dedicated Fertilizer, clinker and coal and container terminals in Athi River where there are alot of cement factories and warehouses for various industries
---------------------------------------------------------------------
2.3 Planned Scope of Works
The construction phase of the project will entail various works that can be categorized in to mechanical works, electrical and instrumentation works and civil works. Being a new site at Athi River, downtime shall not need to be considered. The initial proposal is to fabricate majority of the structural works off-site at a designated area for hot works. These shall then be connected on site so as to have ample working space.
To enable handling of bulk cargo consisting of fertilizer, clinker and coal in Athi River, a storage terminal needs to be constructed together with all associated conveyor systems as below:
The mechanical and piping engineering work to be carried out shall include:
- Construction of Standard gauge railway siding to enable trains to come to site with loaded cargo;
- Installation of two(2) Bagged fertilizer warehouses;
- Installation of one (1)Bulk fertilizer warehouse;
- Installation of one (1) Clinker warehouse;
- Installation of one (1) Coal warehouse
- Installation of two (2)wagon unloading stations
We mwenyewe ndo ulisema uonyeshwe wapi kwa SGR ya Kenya tuko na direct lines to factories, sasa nimekuonyesha tena nikakuongezea na proposed projects za ku connect viwanda zaidi, unaruka kwa MGR, Kwani unafikiri MGR ya Kenya ndo haifiki kwa viwanda?wacha upumbavu MGR Tanzania inasafirisha cargo za namna hiyo!
Akina Garang walianzisha SPLM wakiwa wanasoma pale UDSM.South Sudan's special envoy
MY TAKE
Didn't know SPLM was founded in Dar!
kitu kwa ground ni tofauti na vinavyozungumzwa humu.. viongozi wanalia.. raia wa humu wako as if nothing bad
[emoji102] [emoji102]
hii kitu ilikuwa single tender na kenyatta & co. wakapiga bonge la mzigo
Nawe unajibebaga "ushwaini"!! Nina imani ndo itakavyokuwa maana Prof. Mbarawa hapindishi!! 🤷♂️ 🤷♂️ 🙆♂️ 🙆♂️ 🙆♂️ 😅 😅kwa hali ilivyo huko kwa wenzetu inabid tusainishe Lot 3&4 mapema... wenzetu kwa wakat huu hawawez kupewa mkopo tena kupeleka sgr huko sijui malaba au kisumu..
afu wakat tunaweka jiwe la msingi lot 3&4 tuwaalike at least marais wawili wa EAC kama kagame na wa burundi au museveni
empty containers to Mombasa...!Double stacked wagons at Mtito Andei station giving way to passenger train which has right-of-way. The trains are usually timed so that they can wait for a maximum of 5 minutes.
View attachment 1942045
View attachment 1942046View attachment 1942047
endelea kujiliwaza na machungu... The only Double stacked rail on the African continent! and one of very few in the world!empty containers to Mombasa...!