Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

ohk sasa serikali isiruhusu CCECC ituamulie nini cha kufanya! Mikataba lazma ifuatwe! Unaweza kutuletea evidence ya ulichosema?
Kuna rafiki yangu ni mhandisi wa TRC na anashiriki kwenye mradi huo ndiye aliyeniambia.

Huwa anatokea hata vipindi vya SGR kwa hiyo siwezi kumu-expose sana.

Ngoja huenda nikakutana naye weekend hii atakuwa na updates zaidi.
 
CCECC walibid kwa gharama ndogo nje ya uhalisia Mwanza-Isaka. Sasa hivi CCECC wameanza kulalamika na hawataki kutumia standards za juu kama za lot I na lot II.

Wanataka kutumia signaling standard ya China badala ya Europe kama wanayotumia Yapi Merkezi.

Wakati lot I na II wametumia electrical systems high quality za ABB, CCECC wanataka kutumia systems low quality za China.

So far, CCECC are disappointing.

Maza asicheke nao aisee kama ndo hivyo wapigwe chini tuu kama wameshindwa
 
Kenya wamewajengea kiburi hawa Wachina! Work ethics hamna kabisa!
Wakenya ndio wajinga zaidi....ebu fikiria speed waliyo enda nayo hao wachina kujenga hiyo express way ,iyo kampuni ya kichina wanajua wakizembea watawajibishwa na wenzao
..sasa kwanin wakunya wasitumie mradi huo kama banchmark ya kuwabana wachina? Badala yake wanaishia kula viboko nyumbani kwao
 
CCECC walibid kwa gharama ndogo nje ya uhalisia Mwanza-Isaka. Sasa hivi CCECC wameanza kulalamika na hawataki kutumia standards za juu kama za lot I na lot II.

Wanataka kutumia signaling standard ya China badala ya Europe kama wanayotumia Yapi Merkezi.

Wakati lot I na II wametumia electrical systems high quality za ABB, CCECC wanataka kutumia systems low quality za China.

So far, CCECC are disappointing.
We unaita signaling standard za china zipo chini wakati wao ndio wanaongoza katiba masuala ya reli na kila kitu kuhusiana na reli..
Waturuki wana nini kw china haswa likija swala la reli
 
We unaita signaling standard za china zipo chini wakati wao ndio wanaongoza katiba masuala ya reli na kila kitu kuhusiana na reli..
Waturuki wana nini kw china haswa likija swala la reli

soma kwanza uelewe.. mkataba unataka standard za europe.. ungekuwa unataka standard za kichina wachina wangeweka hizo za kichina.. na wachina wanaweza kuweka low quality sababu ya low price bidded.. hizo za ‘high quality’ standard za china unazoimagine hela yake sio kwa huo mkataba .. ni zaid ya hio hela
mlizojengewa nyie kwenu sio high quality ni old low quality .. usije ukajisifu hapa
 
anaelewa ila ndo kujitia ujinga!
 
Bwahahaha!!naona umedunda hapa mwisho ukaishia kwnywe unafiki, haya sasa nitajie hzo signaling low quality za uchina tulizowekewa sisi alafu utaje hzo high quality za uchina ambazo hatukufika gharama..

Alafu ukumbuke reli yenu ni low budget kwhyo hta nyie mbona lazima mpewe vitu low quality
 
We unaita signaling standard za china zipo chini wakati wao ndio wanaongoza katiba masuala ya reli na kila kitu kuhusiana na reli..
Waturuki wana nini kw china haswa likija swala la reli
sasa kwa ujinga wako reli waliyojenga Kenya ni sawa na wanazojenga Uchina?
 
kuna shida kubwa kwenye hii ishu ya Lot 3&4 SGR
more papers
2928202_IMG_1627.jpg

2928203_IMG_1629.jpg

huyu kadogosa ajiangalie.. kama ana support ya mama atabaki, otherwise atafekwa
2928226_IMG_1622.jpg

2928221_IMG_1625.jpg

2928222_IMG_1623.jpg

courtesy Simon
 
Bwahaha!!mzee kakamatwa..
Reli sai inakimbia kubeba 5m tonnage nyie endeleeni kujitia wajuaji wakati kumbe hamjui chochote

SGR Train Travelling to Mariakani Hits Cow Killing it Instantly​

By Juliet Wambui on 17 June 2017 - 3:14 pm

abandonnn.jpg

A Standard Gauge Railway (SGR) train heading to Mariakani on Saturday knocked down a cow killing it instantly.

The cow was reported to have strayed onto the railway track after elephants destroyed the fence bordering the line.

Confirming the incident, an SGR official who sought anonymity told a local daily that the incident didn't affect the journey since the train proceeded to its destination.

"After knocking the cow, the train slowed down but continued with its journey to the station," the official stated.

He added, "Herders graze their animals in the area because the grass is greener on the other side of the line."
This is the first accident to be reported regarding the SGR train since it was launched on May 31 by President Uhuru Kenyatta.

The train carries around 1200 passengers in one trip taking four to five hours to cover the distance between Nairobi and Mombasa.

1581420.jpg

The cow killed by SGR passenger train

Bwahaha!!mzee kakamatwa..
Reli sai inakimbia kubeba 5m tonnage nyie endeleeni kujitia wajuaji wakati kumbe hamjui chochote

Hawa jamaa wanadai hizo scanner zenu haziwezi ku-scan double stack it can be the facility outside where meant for doublestack but the scan equipments were for a single container scan!

SGR cargo business faces hurdle of screening stacked containers​

By PATRICK BEJA | March 24th 2021 at 00:00:00 GMT +0300
yzevc4wno8mfmtc605a2b3cc0563.jpg

An SGR Train loaded with containerized cargo leaves the Port of Mombasa in Mombasa County on Friday, March 22, 2019[Maarufu Mohamed, Standard]

Cargo haulage by the Standard Gauge Railway (SGR) faces another hurdle because containers that are double-stacked on wagons cannot be screened by scanners.

Double-stacking of containers was seen as a solution after the Port of Mombasa experienced a shortage of wagons. About 550 wagons were damaged by six giant cranes at the port last November.

The damage reportedly reduced the number of freight trains from the port by half, leading to delays in rail-bound cargo between Mombasa and Nairobi.

However, chairman of the Mombasa Port Community Charter Gilbert Lang’at said yesterday 76 of the wagons have been repaired.
“SGR trains have been carrying double-stacked containers but the problem is that they cannot be scanned,” he said.

Lang’at was speaking on the sidelines of a two-day retreat for port stakeholders and civil society organisations at the PrideInn Paradise hotel in Shanzu, Mombasa County.

The forum was convened by Kenya Private Sector Alliance (Kepsa) to discuss ways of cutting down costs of doing business at the port.
Northern Corridor Transit and Transport Coordination Authority executive secretary Omae Nyarandi said landlocked countries imported more cargo through the port of Mombasa during the Covid-19 period last year.

Nyarandi said there was potential for importers in the landlocked countries to increase the use of the northern corridor as opposed to the central corridor.

Patrick Mainge of Kepsa said port stakeholders were keen to see the cost of using the port of Mombasa go down.

“Mombasa port and northern corridor community is keen to see an efficient port as this will lower the cost of doing business,” he said.

He, however, noted that with the spike in Covid-19 infections, they feared another lockdown could hurt businesses and urged Kenyans to adhere to Ministry of Health protocols.

Lang’at said cargo planned to be transported by SGR from Mombasa to Nairobi sometimes experienced delays.

“The owners wait for their cargo in Nairobi because it is imported Through Bill of Lading (TBL) but they may experience delays in Mombasa,” he noted.

Lang’at, however, said the ship delays experienced at the port in January this year has been resolved and shipping lines had withdrawn threats to impose vessel delay surcharges.

MY TAKE
Inakaa mliuziwa used wagons pia! 550 wagons defect in less than 3 years of operation? 🤷‍♂️ 😳☝️🙆‍♂️

Back
Top Bottom