Kuna mambo mengi yapo chini ya kapeti kuhusu SGR, hata hao yapi merkez sio wema kiivo kama wanavyojiaminisha kwa watu......na nina uhakika kwa intel aliyokuwa anapewa hayati rais magufuli asingewapa tena hawa jamaa kazi.....yapi mwenyewe ni kama dalali tuu anauza kazi kila kukicha....yanayojiri huko site pia ni mtihani tuu, ......Namshauri Rais Mama SSH kupitia taariza za ukaguzi kwa kina kwenye mradi huu hasa upande wa tuta na madaraja,(makalavati) na hata wafanyakazi pia, Mama asikubali kupelekewa tu taarifa akaishia kuziamini afanye ufatiliaji binafsi( personal intel) huenda akajua mengi kuhusu yapi na mradi huu kwa ujumla.....mwisho wa siku kampuni yoyote itakayopewa kazi hapa nchini ni lazima na wao wanatafuta faida....faida inaweza kuja kwa halali ama kwa magumashi....ni wewe msimamizi umejipanga vipi kusimamia.....