can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?
SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).
Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
msiangaike sana.. taarifa zilizopo sasa ni Yapi Merkez watapewa hio lot 3&4
Kwann makutopora -Tabora imekuwa kubwa wakati Terrain sio kama Dar-Moro?[emoji736] Dar-Morogoro, $1.215bn, 300km
[emoji736] Morogoro-Makutupora, $1.92bn, 422km
[emoji736] Makutupora-Tabora, $1.91bn, 371km
[emoji735] Tabora-Isaka, ***, 162km
[emoji736] Isaka-Mwanza, $1.32bn, 341km
Mama anatembea na Ilani hadi raha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda sababu ni bonde la ufa.Mw
Kwann makutopora -Tabora imekuwa kubwa wakati Terrain sio kama Dar-Moro?
Labda sababu ni bonde la ufa.
Kuna milima ya Sekenke...Mw
Kwann makutopora -Tabora imekuwa kubwa wakati Terrain sio kama Dar-Moro?
nilikuwa naungoja sana hiikumekucha [emoji7][emoji7][emoji1241][emoji1241]
😄😄😄kama Japan .Chini Blue Buses juu Bullet Train……lile eneo pale pembeni palipokuwa na Petro Station wakijenga garden nzuri ukimtoa Mkenya Airport akifika hapo lazima ashuke apige picha ya kutongozea………..[emoji28] can’t wait.
Kenya reclaimed 1km of land from the sea to build a marshaling yard at Mombasa port. Yaani, its not only flattening a piece of land but finding soil and filling the ocean.can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?
SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).
Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
Kujenga reli ya umeme sio sawa na kujenga reli ya kawaida kama hyo yenu, so usijaribu kulinganisha muda wa kumaliza baina ya reli yetu na yenu, wewe shikilia pale unaposema mbn reli yenu inachelewa kuisha.Kenya reclaimed 1km of land from the sea to build a marshaling yard at Mombasa port. Yaani, its not only flattening a piece of land but finding soil and filling the ocean.
Kenya pia imejenga 42km ya madaraja na stesheni mengi zaidi.
Yaani unataka kusema Treni 20 kila siku yanatumia single line bila control systems? uko sawa?
Kwahivyo kuweka stima inachukua miaka mbili zaidi?
Mbona unasahau reli ya Dar mpaka Moro ni fupi zaidi kushinda Mombasa mpaka Nairobi, 300km vs 450km.
sasa tuko 2022, Will Tz SGR start service this new year?
A stretch of 1km of land reclaimed halafu una-brag? hebu ficha aibu Ruvu marshalling yard inaunganisha a cargo train of over 2 km! Na size as total square km-wise haina comparison south of sahara!Kenya reclaimed 1km of land from the sea to build a marshaling yard at Mombasa port. Yaani, its not only flattening a piece of land but finding soil and filling the ocean.
Kenya pia imejenga 42km ya madaraja na stesheni mengi zaidi.
Yaani unataka kusema Treni 20 kila siku yanatumia single line bila control systems? uko sawa?
Kwahivyo kuweka stima inachukua miaka mbili zaidi?
Mbona unasahau reli ya Dar mpaka Moro ni fupi zaidi kushinda Mombasa mpaka Nairobi, 300km vs 450km.
sasa tuko 2022, Will Tz SGR start service this new year?
Hawa vilaza ambao hawatembei nje ya nchi yao wanafikiri sisi tunacheza huku. Watakuja kutafuta shuka kumeshakucha tayari.A stretch of 1km of land reclaimed halafu una-brag? hebu ficha aibu Ruvu marshalling yard inaunganisha a cargo train of over 2 km! Na size as total square km-wise haina comparison south of sahara!