Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?

SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).

Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu

Train ya Abiria sidhani kama imeachana na hii.

38248436882_19b7816fb7_o.jpg

24396008118_63a7a13898_o.jpg

37556048354_18603dccdb_o.jpg

37569233644_39710844ed_o.jpg

37555945394_44023b6f58_o.jpg

24395586188_cf8d05e14c_o.jpg

24395586188_cf8d05e14c_o.jpg

38211710616_588452aa9a_o.jpg

38234848162_07d4595ce2_o.jpg
 
Mw
[emoji736] Dar-Morogoro, $1.215bn, 300km

[emoji736] Morogoro-Makutupora, $1.92bn, 422km

[emoji736] Makutupora-Tabora, $1.91bn, 371km

[emoji735] Tabora-Isaka, ***, 162km

[emoji736] Isaka-Mwanza, $1.32bn, 341km
Kwann makutopora -Tabora imekuwa kubwa wakati Terrain sio kama Dar-Moro?
 
Labda sababu ni bonde la ufa.

sababu zipo nying tu... gharama za 2018 haziwez kuwa sawa na 2022... mfano tu si mnasikia gharama za cements na nondo na other building materials zimepanda sababu ya ujenzi wa madarasa.. mafuta nayo yamepanda.. effects za covid kwenye logistics kuagiza baadhi ya materials kutoka nje (pia imagine gharama za materials za huko nje nazo zimepanda sababu ya effects za covid)... kama kupiga.. ni wanapiga padogo sana au hata wasipate pa kupiga hela kbsa
 
can show marshalling yard ya Reli ya Kenya?

SGR ya Tanzania kwa Standard za Kenya ingekuwa imeisha miaka 3 nyuma, cause Kenya mko na Reli tu yaani (Track road).

Ila Tanzania wako na Electric power lines, Control centers and control systems ambazo Kenya hawajui lini watakuwa nao, inshort SGR ya Tanzania haina tofauti na SGR zilizopo Europe wakati Reli ya Kenya ni Sawa na MGR iliyopo pamoja na ile ya Tazara tu
Kenya reclaimed 1km of land from the sea to build a marshaling yard at Mombasa port. Yaani, its not only flattening a piece of land but finding soil and filling the ocean.
Kenya pia imejenga 42km ya madaraja na stesheni mengi zaidi.
Yaani unataka kusema Treni 20 kila siku yanatumia single line bila control systems? uko sawa?
Kwahivyo kuweka stima inachukua miaka mbili zaidi?
Mbona unasahau reli ya Dar mpaka Moro ni fupi zaidi kushinda Mombasa mpaka Nairobi, 300km vs 450km.

sasa tuko 2022, Will Tz SGR start service this new year?
 
Kujenga reli ya umeme sio sawa na kujenga reli ya kawaida kama hyo yenu, so usijaribu kulinganisha muda wa kumaliza baina ya reli yetu na yenu, wewe shikilia pale unaposema mbn reli yenu inachelewa kuisha.
 
Kenya reclaimed 1km of land from the sea to build a marshaling yard at Mombasa port. Yaani, its not only flattening a piece of land but finding soil and filling the ocean.
Kenya pia imejenga 42km ya madaraja na stesheni mengi zaidi.
Yaani unataka kusema Treni 20 kila siku yanatumia single line bila control systems? uko sawa?
Kwahivyo kuweka stima inachukua miaka mbili zaidi?
Mbona unasahau reli ya Dar mpaka Moro ni fupi zaidi kushinda Mombasa mpaka Nairobi, 300km vs 450km.

sasa tuko 2022, Will Tz SGR start service this new year?
A stretch of 1km of land reclaimed halafu una-brag? hebu ficha aibu Ruvu marshalling yard inaunganisha a cargo train of over 2 km! Na size as total square km-wise haina comparison south of sahara!
 
Hawa vilaza ambao hawatembei nje ya nchi yao wanafikiri sisi tunacheza huku. Watakuja kutafuta shuka kumeshakucha tayari.
 
Back
Top Bottom