Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Huyu
Huyu Jamaa anajidai ni "much know " Sana,alafu anapenda kutanguliza matusi Sana hata kama mtu anatia maoni yake binafsi,cha msingi ni kumpuuza tu!Acha umama, huwezi jibu hoja bila kufanya personal attacks...kila mtu aha uhuru wa kuchangia maoni yake vile anaona inafaa...
By theway JPM kaingiaje hapa?and if you didnt know plan ya kwanza ya mzee mkapa na wenzie 2002 ilikua ni kupita isaka ili ku accomodate mradi wa kabanga Nikel, u can even refer speach ya JK alivyotembea mradi wa SGR after JPM died.
Once again jifunze kuheshimu maoni ya wenzio ht km hukubaliani nayo bila kufanya personal attack, ukion huwezi unaweza pia ku skip maoni yao, sio lazima uyajibu.