Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #13,801
Mmmh mkuu hiki kipande mbona kama ni mgr ukiangalia upana wa gauge, alaf hakina tuta hata ayo mataluma yanaonekana ni ya chuma sio concrete
ndo journalists wetu hao!Mmmh mkuu hiki kipande mbona kama ni mgr ukiangalia upana wa gauge, alaf hakina tuta hata ayo mataluma yanaonekana ni ya chuma sio concrete
Kwa upande wa journalism Tz nimenyosha mikono hatuna watu kabisa wao waambie habari za kina Mondi zuchu etc watakupa details zotendo journalists wetu hao!
Journalist wa Tanzania uwa ni wapumbavu sana... Wanachoweza nikutembea na vibahasha kipindi cha kampenindo journalists wetu hao!