Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

5 yers later
1647418123826.png
1647417958307.png
1647418010279.png
1647418026635.png
1647418048007.png
 
Hivi waafrika tuna nini? Hakuna chochote tunachoweza kuendesha wenyewe, njia moja tu ya treni,.... may be I am wrong ila si muumini wa ubin
Mimi sioni ubaya wa wanachofanya hata yetu ikikamilika ni vizuri TRC ika-list at DSE hata Air Tanzania na TPA pia! Mashirika makubwa kama Deutsche Bahn yako listed!
 
February Update: SGR Dar-Moro

Yapi Merkezi cargo train crossing the Nkrumah SGR bridge, the only electric SGR cable stayed bridge in the whole of Sub Saharan Africa!
5.PNG

Yupo anayebisha?
CC: NairobiWalker, Tony254, KANAIRO n Teargas

MY TAKE
Title imekosewa si MDM bali ni Dar-Moro SGR! Na pia ni February update!
 
Mimi sioni ubaya wa wanachofanya hata yetu ikikamilika ni vizuri TRC ika-list at DSE hata Air Tanzania na TPA pia! Mashirika makubwa kama Deutsche Bahn yako listed!
Wewe jamaa nilizani upo smart kichwani lakini kumbe ,"kanacheza." Tulisha privatise shirika la reli kwa wahindi, wakangoa hadi vyuma na vipuri wakauza. Najua India ndo nchi inaongoza duniani kwa kuwa na makampuni mengi ya reli. Siku zote chako ni chako tu. Tatizo uwa ni management mbovu. Tatizo ni siasa na ubinafsi.
 
Wewe jamaa nilizani upo smart kichwani lakini kumbe ,"kanacheza." Tulisha privatise shirika la reli kwa wahindi, wakangoa hadi vyuma na vipuri wakauza. Najua India ndolinaongoza duniani kwa kuwa na makampuni mengi ya reli. Siku zote chako ni chako tu. Tatizo uwa ni management mbovu. Tatizo ni siasa na ubinafsi.
kwani TRC ilibinafsishwa kwa RITES kupitia stock exchange au kupitia Chenge? Dish limeyumba nn? Unajua maana ya public listing?
 
kwani TRC ilibinafsishwa kwa RITES kupitia stock exchange au kupitia Chenge? Dish limeyumba nn? Unajua maana ya public listing?
Viwanda vingi vya serikali vilivyobinafsishwa vimekufa na mashirika yaliyobinafsishwa haya perform vizuri mm sioni umuhimu kwa kubinafsisha kwa sasa
 
Viwanda vingi vya serikali vilivyobinafsishwa vimekufa na mashirika yaliyobinafsishwa haya perform vizuri mm sioni umuhimu kwa kubinafsisha kwa sasa
nitajie shirika moja lilobinafsishwa kupitia DSE lika-collapse! TBL? TCC? TOL? Simba cement? Twiga cement? CRDB? Nadhani hamuelewi ninachosema! Mimi namaanisha TRC iwe public listed share zake ziuzwe kwa public hiyo nayo ni privatization! Asikwambie mtu mimi kila mwaka nakula commission na najuta kwanini sikununua shares lukuki! TRC ikibaki chini ya serikali siku utakuja uongozi mwingine upigaji utaanza ila shirika likiwa DSE linahakikiwa na very independent agencies! Angalia NICO ilivyokombolewa saahii inafanya vizuri!
 
Kwani uyo anaongelea kuliweka shirika DSE au kuli privatise?? Pia makampuni uingia DSE kwa malengo yakukuza mtaji... Mashirika ya Serikali yanauwezo wa kupata mtaji direct kutoka Serikalini na ata kukopa kwa dhamana ya serikali. Tatizo uwa ni management na lobbing ya wafanyabiashara kwenye mashirika.
 
Back
Top Bottom