Acha ku display your ignorance hapa. Embu pata kidonge kimoja kwanza kabla hatujaendelea.Ukweli usiuite wivu. Uchumi wa Tanzania uko concentrated along the coast. Dar na Zanzibar. Tanganyika hakuna kitu isipokua vijiji.
Ukweli usiuite wivu. Uchumi wa Tanzania uko concentrated along the coast. Dar na Zanzibar. Tanganyika hakuna kitu isipokua vijiji.Mkuu nishakusoma kumbe unatumia akili za kuazima
According to your 'tiny' brainImports za the largest city in East and Central Africa 'Nairobi' + Kampala 80%
According to facts low-iq-man. SGR ya Kenya inaserve Nairobi+Kampala. Two huge cities. Sgr ya Tanzania hakuna MTU inaserveAccording to your 'tiny' brain
Leo ni mwaka wa sita SGR bado haija break even huoni kuna shida mahali?According to facts low-iq-man. SGR ya Kenya inaserve Nairobi+Kampala. Two huge cities. Sgr ya Tanzania hakuna MTU inaserve
Leo ni mwaka wa sita, sgr ya Tanzania haijaisha kujenga. Huoni shida mahali?Leo ni mwaka wa sita SGR bado haija break even huoni kuna shida mahali?
We are building the longest electric SGR in Africa 2650Km construction timeline yake cannot be compared na 400Km jointed diesel run SGRLeo ni mwaka wa sita, sgr ya Tanzania haijaisha kujenga. Huoni shida mahali?
170km imewalemea ni 2650 mtajenga!We are building the longest electric SGR in Africa 2650Km construction timeline yake cannot be compared na 400Km jointed diesel run SGR
Wivu unakuweka out of touch na reality.170km imewalemea ni 2650 mtajenga!
Tayari natumia sgr apa Kenya tangu 2017Wivu unakuweka out of touch na reality.
Usijali utakuja kupiga picha kwenye electric trains zetu na utapiga picha ukiwa gorofani mwa treni zetu pia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo nayo ni SGR ukitoka Nairobi mpaka Mombasa hiyo treni yenu lazima ukaweke appointment kwa daktari wa masikio. [emoji16]Tayari natumia sgr apa Kenya tangu 2017
Tembea kenya upande uonee kama utaskia hizo kelele uliambiwa vijiweniHiyo nayo ni SGR ukitoka Nairobi mpaka Mombasa hiyo treni yenu lazima ukaweke appointment kwa daktari wa masikio. [emoji16]
Fish joints kijana huwa zinapiga kelele. Huku hata MGR ni continuous welded mwendo wa kutekeza tuu. Kwahiyo ukae kwa kutulia tuu uwe mpole.Tembea kenya upande uonee kama utaskia hizo kelele uliambiwa vijiweni
Ukiwa ndani ya treni hakuna kelele. Tanzania hakuna treni ya sgr sijui unabisha niniFish joints kijana huwa zinapiga kelele. Huku hata MGR ni continuous welded mwendo wa kutekeza tuu. Kwahiyo ukae kwa kutulia tuu uwe mpole.
Kelele zipo kwa huo mtungi wa changaaUkiwa ndani ya treni hakuna kelele. Tanzania hakuna treni ya sgr sijui unabisha nini
nimecheka sanaHiyo ndio tofauti ya european na Chinese standards [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Izo nchi 8 ndio zinafanya dar iwe nusu ya cargo ya MombasaTz imejipanga sana wewe ngoja tuvute zulia chini ya miguu yenu muanguke vibaya. Tz ina nchi 8 zinazotegemea bandari ya Dsm. Mizigo yote ya Ug tunapeleka mpaka port bell kwa bei poa tuu ndani ya 10 hours from port mizigo inafika Mwanza mwanza kesho yake asubuhi iko port bell hiyo ni transit time ya less than 24hrs halafu tuone kama kuna mtu wa UG atapitisha mzigo especially ya container Mombasa. Hawa wengine wala sio jambo la kuzungumzia inland port ya Isaka kwa sasa ita serve hizo nchi nyingine (Uganda, Rwanda, Burundi na Congo) vzr sana maana hapo ni less than 400km from Isaka. Ila connection ya keza ikimalizika electric sgr itatembea moja kwa moja mpaka Congo.
It is only a matter of time before Kenyan sgr iwe obsolete.
Uongo mtupu huu jielemishe kwanzaMines ambazo hazina pesa?
Dar ni nusu ya uchumi wa Tanzania, yani 50%. Zanzibar 30% alafu 20% ya uchumi ndio inabaki Tanganyika. Hii SGR inatoka Dar inaelekea Tanganyika ambako hakuna uchumi, abiria wala mzigo. Its a waste.