Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ukweli usiuite wivu. Uchumi wa Tanzania uko concentrated along the coast. Dar na Zanzibar. Tanganyika hakuna kitu isipokua vijiji.
Acha ku display your ignorance hapa. Embu pata kidonge kimoja kwanza kabla hatujaendelea.

 
Wivu unakuweka out of touch na reality.

Usijali utakuja kupiga picha kwenye electric trains zetu na utapiga picha ukiwa gorofani mwa treni zetu pia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tayari natumia sgr apa Kenya tangu 2017
 
Hiyo nayo ni SGR ukitoka Nairobi mpaka Mombasa hiyo treni yenu lazima ukaweke appointment kwa daktari wa masikio. [emoji16]
Tembea kenya upande uonee kama utaskia hizo kelele uliambiwa vijiweni
 
Tembea kenya upande uonee kama utaskia hizo kelele uliambiwa vijiweni
Fish joints kijana huwa zinapiga kelele. Huku hata MGR ni continuous welded mwendo wa kutekeza tuu. Kwahiyo ukae kwa kutulia tuu uwe mpole.
 
Fish joints kijana huwa zinapiga kelele. Huku hata MGR ni continuous welded mwendo wa kutekeza tuu. Kwahiyo ukae kwa kutulia tuu uwe mpole.
Ukiwa ndani ya treni hakuna kelele. Tanzania hakuna treni ya sgr sijui unabisha nini
 
Tz imejipanga sana wewe ngoja tuvute zulia chini ya miguu yenu muanguke vibaya. Tz ina nchi 8 zinazotegemea bandari ya Dsm. Mizigo yote ya Ug tunapeleka mpaka port bell kwa bei poa tuu ndani ya 10 hours from port mizigo inafika Mwanza mwanza kesho yake asubuhi iko port bell hiyo ni transit time ya less than 24hrs halafu tuone kama kuna mtu wa UG atapitisha mzigo especially ya container Mombasa. Hawa wengine wala sio jambo la kuzungumzia inland port ya Isaka kwa sasa ita serve hizo nchi nyingine (Uganda, Rwanda, Burundi na Congo) vzr sana maana hapo ni less than 400km from Isaka. Ila connection ya keza ikimalizika electric sgr itatembea moja kwa moja mpaka Congo.

It is only a matter of time before Kenyan sgr iwe obsolete.
Izo nchi 8 ndio zinafanya dar iwe nusu ya cargo ya Mombasa
Hii ndio SHITHOLE nilikuwa naongelea
 
Mines ambazo hazina pesa?
Dar ni nusu ya uchumi wa Tanzania, yani 50%. Zanzibar 30% alafu 20% ya uchumi ndio inabaki Tanganyika. Hii SGR inatoka Dar inaelekea Tanganyika ambako hakuna uchumi, abiria wala mzigo. Its a waste.
Uongo mtupu huu jielemishe kwanza
 
Back
Top Bottom