Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kweli mkuu huyu kadogosa mm nishmkataa mama sijui kwann anambembeleza yani katupiga kalenda mpaka tumechokaa na kingine kwa jinsi navyomjua jpm vizuri hasinge vumilia huu ujinga wa vichwa na behewa chakavu
 
Ivi wewe kwa akili yako unazani Masanja anapo ongea ni maamuzi yake binafsi?? Huyo ni mkurugenzi na pia jua kuna bodi...
 
Ndio wapigww chini pamoja na bodi mbona bodi nyingi zimefunjwa tuu kwani kazi

Yaani sijui chifu anasubilia nini hapo trc kuwabadilisha bana. Mbona tanesco na mashirika kibao wameondolewa,, anashindwa nini kwa hao reli? Kaondoa waziri kamuacha mkurugenzi na bodi au ilikua chuki binafsi kwa waziri?
 
Yapi Merkezi tayari wapo behind the schedule SGR Moro-Makutupora segment! Ukiangalia vizuri hii corridor ina provisions zote ku-speed up ujenzi yaani ipo karibu na MGR kusaidia mobilization and all needed to enhance faster construction! Tatizo ni Yapi Merkezi haibanwi ipasavyo kufuata given timetable na agreement. Wanaajiri wafanyakazi wachache.
 
Ndio wapigww chini pamoja na bodi mbona bodi nyingi zimefunjwa tuu kwani kazi
Wewe uelewa wako ni mfupi sana. Nimewai kumsikia mtu mmoja akilalamika juu ya mkandarasi wa kichina SINOHYDRO kupewa tena kandarasi uku ya mwanzo ikiwa bado haijakamilika. Akujua kuwa hiyo kampuni tatizo ni ulipaji wa pesa. SINOHYDRO wamekuwa wakandarasi wavumilivu ndio maana wakapewa kandarasi nyingine. Kwenye SGR pia kuna tatizo la kuto kulipa pesa kwa wakati. Kadogosa hawezi sema kuna ucheleweshaji wa pesa. Airport na Vingunguti watu bado hawajalipwa fidia. Unataka kusema tatizo ni Kadogosa??
 
Wako behind the schedule kwa sababu serikali haitoi pesa kwa wakati. Sio kila kitu lazima muambiwe. Kivuko cha airport na vingunguti ujenzi hujaanza kutokana na kucheleweshwa kwa fidia. Kuna kampuni za ujenzi za lot 1 zimejiondoa kwenye SGR kutokana na kucheleweshwa kwa pesa. Jiulize kwanini Lot 2 imeenda haraka kuliko lot 1 kwenye ujenzi?
 
Acha ujinga wewe bodi ngapi zinavunjwa hapa bongo ndio itakua iyo ya trc juzi juzi tu hapa bodi ya tanesco imevunjwa kwaiyo tatizo lilikuwa la nani acha kutetea ujinga
 
Yaani sijui chifu anasubilia nini hapo trc kuwabadilisha bana. Mbona tanesco na mashirika kibao wameondolewa,, anashindwa nini kwa hao reli? Kaondoa waziri kamuacha mkurugenzi na bodi au ilikua chuki binafsi kwa waziri?
Mm nashangaa alafu kuna mtu anatetea huu ujinga anafurahi akiona miradi inacheleweshwa
 
kwani tender kubwa kama hizi unadhani hazitakiwi kuonyesha uwezo wa kuendeleza mradi pindi mteja anachelewa kulipa? Au unataka kusema wanalipwa kwa certificates? Hapana bwana kuna uzembe mahali na IMHO ni usimamizi wa TRC!
 
Mm nashangaa alafu kuna mtu anatetea huu ujinga anafurahi akiona miradi inacheleweshwa
Jamaa hajatetea kina kadogosa, anachosema ni hao kina kadogosa wanafanywa scapegoat tu ila tatizo lipo juu, kwasababu kwa akili ya haraka haraka tu kwnn hawafukuzwi kama kweli tatizo lipo kwao? Kulipa watu kwa wakati au kulipa fidia au ujenzi kwenda slow hilo ni tatizo la mkurugenzi?
 
compensation ishalipwa! Pitia clip
electrical SGR Morogoro-Dodoma-Makutupora; 86% done and counting...
 
Kwa hiyo nini kifanyike Geza Ulole? Uongozi wa kuwasimamia upo,, Bodi ipo. Ndo maana tunaomba chifu awapangie kazi nyingine uko ateuwe watu wengine. Na ikimpendeza mteuaji basi kwenye hiyo team mpya na wewe Geza uwemo. Ila upunguze maneno yasiyo na stara au tumia tafsida kwa baadhi ya maneno. Mpumbavu sio tusi ila sio neno zuri kulitumia kila mara usiwe kama malaika
 
Yah naelewaa pia serikali kuna tatizo la ucheleweshaji wa malipo ila iyo haiwapi immunity ya kutowajibishwa, sanasana kwwnye ili suala la oda ya kwanza ya vichwa vya treni na behewa kucheleweshwa
 
huwa nasema upumbavu meaning foolishness na si mpumbavu an individual! Discuss the topic at hand na si ujifanye kuleta individuality hapa!
 
Kuna ulazima gani wa kuanza lot nyingine kabla ya lot ya kwanza kuisha? Kama tatizo ni hela Kwa nini wasingemaliza lot ya kwanza na ya pili? Na kila uzinduzi inatangazwa serikali kulipa hela asilimia kadhaa kwa kila kipande.
 
Hizo treni zilinunuliwa 2020 under the nose ya Malaika period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…