Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
Kweli mkuu huyu kadogosa mm nishmkataa mama sijui kwann anambembeleza yani katupiga kalenda mpaka tumechokaa na kingine kwa jinsi navyomjua jpm vizuri hasinge vumilia huu ujinga wa vichwa na behewa chakavuGeza ukiona watu wanamsema mama kua ni dhaifu usione kama wote wanaosema ni sukumaG. Inshu kama hizo za trein na mabehewa ilibidi aonyeshe kweli yeye ndo top. Anashindwa nini kuwaajibisha hao watu? Ata ujenzi kuchelewa ilibidi kadogosa na team yake yote wasiwepo ofisini hadi sasa. Malaika na kupenda kwake sifa sizani Kama angekubali kununua mabehewa na train yaliyochoka. Kama kweli unaishi Tanzania suala la watu kufoji documents kwa maslahi yao sio geni. Kama walibadilisha report ya CAG watashindwa nini kubadilisha documents za TRC ili kumwangushia jumba bovu malaika? Na ukizingatia rais ni (mdebwedo) wa maamuzi magumu